VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA
.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto, aliyekaa) na Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kulia, aliyekaa), wakitia saini mkataba wa makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na makampuni yao kupitia huduma ya M-Pesa na Tigopesa. Wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Vodacom Tanzania, Ngayama Matongo na kulia ni Meneja wa Chapa ya Tigo, William Mpinga.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA
10 years ago
Michuzi
VODACOM NA MONEYGRAM WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA


10 years ago
GPL
VODACOM NA MONEYGRAM WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
TWIGA BANCORP yajivunia kuwa taasisi ya kifedha inayoongoza kutoa huduma bora za kibenki
Wafanyakazi wa Benki ya Twiga Bancorp wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao mapema leo, kwenye maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini Dar es Salaam.
Mama Mjasiliamali wa kampuni ya Tree of Life, Bi.Jessica Msamba akifafanua jambo kwa Afisa Masoko wa Twiga Bancorp,Bwa.Adalbert Alchard mapema leo mchana kwenye maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini Dar es Salaam.Bi Jesca ni mmoja wa wateja wakubwa wa benki hiyo na amekuwa akiendesha biashara zake za ujasiliamali...
11 years ago
Michuzi
TWIGA BANCORP BENKI YENYE DIRA YA KUWA TAASISI YA KIFEDHA INAYOONGOZA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIBENKI.


10 years ago
MichuziMAWAKALA WA VODACOM TANZANIA WAPIGWA MSASA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA
11 years ago
Michuzi
VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA


11 years ago
GPL
VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Umoja Switch, Vodacom waboresha huduma za kifedha
KAMPUNI ya Umoja Switch na Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Vodacom Tanzania wamezindua huduma ya kuchukua fedha kwenye mashine za Umoja Switch (ATM) kupitia huduma ya M-Pesa. Huduma hiyo...