Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tigo yatenga Shilingi bilioni 12.6 kuunganisha kanda ya Ziwa

IMG_9612

Meneja mkuu wa kampuni ya Tigo, Diego Gutierez akifafanua jambo alipozungumza na wahariri wa kanda ya Ziwa jana kuhusiana na jinsi ambavyo Tigo imejipanga kuwekeza zaidi ya Sh2.6 bilioni katika kanda ya ziwa kwa mawaka huu.

Kampuni ya simu nza mkononi ya imetenga jumla ya shilingi bilioni 2.6 kwa ajili ya kuwekeza katika ujenzi wa minara mipya na kuboresha utoaji hudumakwa mikoa ya kanda ya ziwa kwa mwaka 2015.

Akiongea na waandishi wa Habari wa mkoa wa Mwanza leo, Meneja mkuu wa kampuni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UFARANSA YATENGA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.10 KWA AJILI YA KUHAMASISHA WATANZANIA KUJUA LUGHA YA KIFARANSA, AGUSIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50...


Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii

NCHI ya Ufaransa imesema kwamba imetenga zaidi ya shilingi  Bilioni 1.10  kwa ajili ya kutoa mafunzo ya lugha ya Kifaransa kwa walimu na maprofesa mbalimbali nchini Tanzania kwa ajili ya kuhakikisha lugha hiyo inazungumzwa na Watanzania wengi.

Kwa mujibu wa Ufaransa ni kwamba mkakati wa nchi hiyo ni kuhakikisha lugha ya Kifaransa inaendelea kuwa na watu wengi zaidi ambao watakuwa wanaizungumza kwa ufasaha na kuitumia kama sehemu muhimu ya Mawasiliano...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo Pesa kuvuna shilingi bilioni 3.8

1

Mkuu wa Huduma za Kifedha Kwa Njia ya Mtandao wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Tigo Dar es Salaam, kuhusu Wateja wa Tigo Pesa kupata faida ya robo mwaka ya shilingi bilioni 3.8. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja.

2

Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja (kulia), akizungumza katika mkutano huo.

3

Waandishi wa habari wakichukua taarifa hiyo.

IMG_7017

Mkutano ukiendelea.

Na Dotto Mwaibale

KAMPUNI ya...

 

5 years ago

Michuzi

Wateja Tigo Pesa wavuna shilingi bilioni 2.7

 Kampuni inayoongoza kwa mawasiliano ya kidigitali nchini Tanzania, Tigo, leo imetangaza kuwalipa wateja wake wanaotumia huduma ya kifedha ya Tigo Pesa kiasi cha shilingi bilioni 2.7 kama faida iliyopatikana kwenye robo ya kwanza ya mwaka 2020 iliyoishia tarehe 31 Machi 2020. Hii itakuwa ni mara ya 24 tangu kampuni izindue utaratibu huu wa kutoa gawio kwa wateja wake.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha kupitia simu za mkononi wa Tigo Tanzania, Angelica Pesha, amesema Tigo imewalipa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yachangisha fedha kwa ajili ya makundi ya wasiojiweza kanda ya ziwa

i82 (3)

Kikundi cha muziki cha i82 kutoka Shule ya Kimataifa ya Isamilo jijini Mwanza,wakiimba juzi usiku wakati wa hafla ya kuchangisha pesa kwa ajili ya watoto wenye kansa Mkoani Mwanza mpango huo ulifadhiliwa na Kampuni ya simu za Mkononi Tigo. i82 (1) shangwe. Mashabiki wa kikundi cha muziki cha i82 cha Shule ya Kimataifa Isamilo ya jijini Mwanza, wakifurahia nyimbo mbalimbali juzi usiku,wakati wa hafla ya kuchangisha pesa kwa ajili ya watoto wenye kansa. audience (1) david twininge akiburudisha (1) Mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yazindua usajiri wa kuzaliwa kupitia simu za mkononi kwa kanda ya Ziwa

simu2.

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Ummy Mwalimu(kushoto)akionyesha moja kati ya simu 350 zilizotolewa na Kampuni ya Tigo kwa ajili ya mkakati wa usajili wa watoto waliozaliwa  wenye umri chini ya miaka mitano kwa njia ya simu kwa kutumia  mtandao wa Tigo,wakati wa uzinduzi uliofanyika  Mkoani Mwanza jana, kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya,Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa usajili,ufilisi na udhamini(RITA) Emmy...

 

10 years ago

Mwananchi

Vodacom, Tigo sasa kuunganisha huduma

Zaidi ya wateja milioni 11 wa huduma za M-pesa na Tigo Pesa nchini, wanatarajiwa kunufaika na gharama nafuu za kutuma fedha baina ya mitandao hiyo kuanzia mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Zanzibar yatenga bilioni 16/- kuimarisha demokrasia

Waziri wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar, Omar Yussuf MzeeSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imetenga jumla ya Sh bilioni 16 kwa ajili ya kuimarisha shughuli za kidemokrasia ikiwemo kuiwezesha Tume ya Uchaguzi (ZEC) kuendesha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

Faidika yatenga Sh 40 Bilioni kwa ajili ya kukopesha Watanzania

· Yaongeza kiwango cha kukopa, muda malipo na kupunguza riba
Dar es Salaam. Taasisi ya huduma za kibenki ya Faidika imetenga zaidi ya Sh 40 bilioni kwa ajili ya kuwakopesha watanzania wenye ajira kupitia programu ya ‘Mshahara wako, mkopo wako,’
Mkurugenzi Mkuu wa Faidika , Bw. Baraka Munisi alisema kuwa mikopo hiyo inatolewa ndani ya saa 24 endapo mkopaji atatimiza masharti yaliyowekwa.
Bw. Munisi alisema kuwa wameamua kutenga kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kuboresha maisha ya Watanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani