Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kama umeshinda bahati nasibu ya shilingi bilioni moja na shilingi milioni 500 kwako ni vijisenti....Hii haikuhusu.....LIKE page ya Cloudsfm Radio

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKAZI WA TARIME MKOANI MARA ASHINDA SHILINGI MILIONI 20 BAADA YA KUCHEZA BAHATI NASIBU YA BENKI YA I & M LTD

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya  I&M, Baseev Mohamed (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh.milioni 20, Mkuu wa Idara ya Biashara wa benki hiyo, Svikanth T,  kwa niaba ya mteja wa benki hiyo, Jumanne Francis Mchenje wa Tarime mkoani Mara anayeishi jijini Mwanza aliyejinyakulia kitita hicho cha fedha baada ya kushinda bahati nasibu ya kwanza inayoendeshwa na benki hiyo kwa ajili ya kuongeza wateja wapya iliyofanyika Dar es Salaam jana. Katikati ni Meneja Masoko, Ruheen...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yaidhinisha Shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake

Benki ya NMB imeidhinisha shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake ikiwa ni sehemu ya faida iliyopatikana kwa mwaka 2014.Gawio hilo ni sawa na Shilingi 104 kwa kila hisa moja na ikiwa ni ongezeko la asilimia 16 kutoka gawio la mwaka jana.
Gawio hilo ni kutokana na faida ya shilingi Bilioni 156 baada ya kodi iliyopatikana kwa mwaka 2014. Faida hiyo na gawio lililoidhinishwa ni Faraja kwa wanahisa wanaojivunia benki bora yenya matawi mengi kuliko benki yoyote Tanzania ikiwa na matawi...

 

10 years ago

Bongo5

Baby Madaha: Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yangu ya filamu (Picha)

Muimbaji na muigizaji wa filamu, Baby Madaha amesema amewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yake mpya ya filamu. Baby Madaha akiwa katika moja ya maduka ya vifaa vya electronics jijini Dubai, UAE Baby ameiambia Bongo5 leo akiwa Dubai kwaajili ya manunuzi ya vifaa hivyo, kuwa amekuta bei ya vifaa vya uzalishaji wa filamu […]

 

5 years ago

Michuzi

KWA MARA YA KWANZA WATEJA WA HALOPESA KUNEEMEKA GAWIO,KUPATA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI MOJA

 Katika muendelezo wa kutoa  huduma bora za kifedha nchini. Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel kupitia huduma zake za kifedha za HaloPesa, inatarajia kutoa Gawio kwa wateja wake.
Hatua hiyo ikiwa ni hatua ya kwanza kwa HaloPesa kutoa gawio kiasi cha shilingi bilioni moja kwa wateja  wake Zaidi ya Milioni 1.9  ambao ni pamoja na wateja binafsi, mawakala na washirika wake mbalimbali wanatumia huduma za HaloPesa.
Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar Es Salaam, Mkuu wa kitengo...

 

10 years ago

Michuzi

MGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU, BGML, WAKABIDHI MIRADI YA THAMANI YA SHILINGI BILIONI MOJA WILAYA YA MSALALA.

 Moja kati ya majengo ya shule ya Msingi Busindi, yaliyomaliziwa kujengwa na mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu ulioko wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga. Mgodi huo unaomilikiwa na kampuni ya Acacia, umekabidhi miradi minne ya elimu na maji yenye thamani ya shilingi bilioni 1 ikiwa ni sera ya kampuni kujenga mahusiano mema na jamii inayozunguka migodi. Kaimu Mku wa Wilaya ya Msalala, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, Meneja Mkuu Mgodi wa Dhahabu Bulyanhulu,...

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West hutumia zaidi ya shilingi milioni moja kila siku kunyoa nywele

screen-shot-2015-04-16-at-8-54-18-am

Kanye West anadai kutumia $500 kila siku ambazo ni zaidi ya shilingi milioni moja kunyoa nywele.

screen-shot-2015-04-16-at-8-54-18-am

Kwa mwaka hiyo inaaminisha kuwa hutumia zaidi ya $180,000.

Taarifa hizo zilisemwa na baba yake Rihanna kwenye mahojiano na jarida la Heat, Ronald Fenty, aliyesafiri na Kanye na mwanae kwenye ziara yao mwaka 2010.

“It’s crazy – he pays his barber $500 a time,” alisema. “I don’t understand how that much hair gets taken off. Kanye just loves the fresh look.”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, mchana wa leo ametiliana saini makubaliano ya mkataba wa kuanzisha Mradi wa Maji katika Wilaya ya Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro..  Dr. Likwelile alisaini Mkataba huo kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya uchumi ya Afrika. Aliye wakilisha Benki hiyo ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani