BENKI KUU YA TANZANIA YAFAFANUA THAMANI HALISI YA SARAFU YA SHILINGI 500, YABAINISHA HAINA MADINI YA THAMANI KAMA INAVYOVUMISHWA MITAANI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: BENKI KUU YAKANUSHA UVUMI POTOFU KWAMBA SARAFU YA SHILINGI 500 INA MADINI NA NI MALI
Benki Kuu imekanusha vikali kwamba sarafu ya shilingi 500 ina madini ndani yake hivyo ni mali inayoweza kutumika kutengenezea vito, kufuatia uvumi potovu ulioenea kila pembe ambao unawafanya wananchi wengine wanunue sarafu hiyo kwa bei mara tano hadi kumi y thamani yake.Akiongea na Globu ya Jamii jijini Dar es salaam leo, Meneja wa vituo vya Utunzaji wa Benki Kuu Bw. Abdul Dollah, amesema kwamba uvumi huo si kweli na kwamba katika sarafu ya shilingi 500 kuna madini machache mno ya nickel...
10 years ago
MichuziBenki Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500
Mkurugenzi Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel Boaz(wa kwanza kulia) akiwaeleza waandishi wa habari(Hawapo Pichani) sababu zilizopelekea kutoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500, ambapo alisema noti ya shilingi 500 inatumika zaidi kwenye manunuzi ya kawaida ya kila siku hivyo hupita kwenye mikono ya watu wengi na kuchakaa haraka,noti hizi hukaa katika mzunguko kwa muda mrefu bila kurejeshwa kwenye mabenki na sarafu hukaa kwenye mzunguko kwa muda...
10 years ago
GPLBENKI KUU YA TANZANIA IMETOA TOLEO JIPYA LA SARAFU YA SHILINGI 500
Sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014. BENKI Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014 itakayokuwa mbadala wa Noti ya shilingi 500 inayoonekana kuchakaa haraka. Noti ya 500 inayotumika sasa. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na Mkurugenzi wa Huduma za kibenki wa benki hiyo Bw. Emmanuel Boaz wakati wa mkutano na waandishi wa habari. “Noti...
10 years ago
Mwananchi01 May
THAMANI YA SHILINGI: Mtei aifunda Benki Kuu
>Gavana wa Kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Edwin Mtei ametoa somo kwa benki hiyo kuinusuru shilingi isiendelee kuporomoka kwa kutumia akiba ya fedha za kigeni ilizonazo.
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Benki ya DTB Tanzania yauza hisa zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30!
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Diamond Trust (DTB), Viju Cherian (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Hoteli ya Serena Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu benki hiyo kuuza hisa zenye thamani ya sh. bilioni 30 na kusherehekea miaka 70 ya uwepo wake tangu ianzishwe hapa nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa benki hiyo, Joseph Mabusi.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa benki hiyo, Joseph Mabusi (kulia), akizungumzia mafanikio mbalimbali na...
5 years ago
MichuziMbaga: Fedha haina thamani kama haijawekezwa, UTT yatoa fursa
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa UTT AMIS, Simon Migangala.
UTAJIRI sio fedha ambazo mtu anakusanya bali ni fedha zinazowekwa na kufanya kazi. Tamaduni zetu zimeifanya jamii kubwa kuhifadhi fedha ndani katika vyungu, magodoro, vibubu. Uwekaji akiba na uwekezaji ni dhana mbili tofauti. Uwekaji akiba ni mzuri lakini bila kuziwekeza ni bure. Ili uwe muwekaji akiba mzuri, unapaswa kuwa na nidhamu ya kujizoesha muda mrefu.
Nchini Tanzania...
10 years ago
VijimamboBENKI KUU YATOA TAARIFA UPOTOSHAJI SARAFU YA SH. 500
Asilimia 94 ya madini katika sarafu ya sh. 500 ni chuma na asilimia 6 ni Nickel, ameeleza Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki katika Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Marcian Kobello.Pia ndivyo ilivyoelezwa wakati wa uzinduzi wa sarafu hii mnamo mwezi Septemba mwaka jana kabla haijaingizwa katika mzunguko mwezi Oktoba 2014.Bw. Kobello amesema hadi sasa sarafu zenye thamani ya sh. 1,162,000,000/- zimekwishasambazwa kote nchini na kwamba kuna kiasi cha kutosha cha sarafu hiyo endapo itahitajika."Hakuna...
10 years ago
MichuziBENKI KUU YATOA TAARIFA KUHUSU upotoshaji unaoendelea juu ya Sarafu ya sh. 500/=
Asilimia 94 ya madini katika sarafu ya sh. 500 ni chuma na asilimia 6 ni Nickel, ameeleza Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki katika Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Marcian Kobello.
Pia ndivyo ilivyoelezwa wakati wa uzinduzi wa sarafu hii mnamo mwezi Septemba mwaka jana kabla haijaingizwa katika mzunguko mwezi Oktoba 2014.
Bw. Kobello amesema hadi sasa sarafu zenye thamani ya sh. 1,162,000,000/- zimekwishasambazwa kote nchini na kwamba kuna kiasi cha kutosha cha sarafu hiyo endapo itahitajika.
“Hakuna...
Pia ndivyo ilivyoelezwa wakati wa uzinduzi wa sarafu hii mnamo mwezi Septemba mwaka jana kabla haijaingizwa katika mzunguko mwezi Oktoba 2014.
Bw. Kobello amesema hadi sasa sarafu zenye thamani ya sh. 1,162,000,000/- zimekwishasambazwa kote nchini na kwamba kuna kiasi cha kutosha cha sarafu hiyo endapo itahitajika.
“Hakuna...
11 years ago
Michuzi15 Jul
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania