Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500

Mkurugenzi Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel Boaz(wa kwanza kulia) akiwaeleza waandishi wa habari(Hawapo Pichani) sababu zilizopelekea kutoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500, ambapo alisema noti ya shilingi 500 inatumika zaidi kwenye manunuzi ya kawaida ya kila siku hivyo hupita kwenye mikono ya watu wengi na kuchakaa haraka,noti hizi hukaa katika mzunguko kwa muda mrefu bila kurejeshwa kwenye mabenki na sarafu hukaa kwenye mzunguko kwa muda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BENKI KUU YA TANZANIA IMETOA TOLEO JIPYA LA SARAFU YA SHILINGI 500‏

Sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014. BENKI Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014 itakayokuwa mbadala wa Noti ya shilingi 500 inayoonekana kuchakaa haraka. Noti ya 500 inayotumika sasa. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na Mkurugenzi wa Huduma za kibenki wa benki hiyo Bw. Emmanuel Boaz wakati wa mkutano na waandishi wa habari. “Noti...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BENKI KUU YAKANUSHA UVUMI POTOFU KWAMBA SARAFU YA SHILINGI 500 INA MADINI NA NI MALI

Benki Kuu imekanusha vikali kwamba sarafu ya shilingi 500 ina madini ndani yake hivyo ni mali inayoweza kutumika kutengenezea vito, kufuatia uvumi potovu ulioenea kila pembe ambao unawafanya wananchi wengine wanunue sarafu hiyo kwa bei mara tano hadi kumi y thamani yake.Akiongea na Globu ya Jamii jijini Dar es salaam leo, Meneja wa vituo vya Utunzaji wa Benki Kuu Bw. Abdul Dollah, amesema kwamba uvumi huo si kweli na kwamba katika sarafu ya shilingi 500 kuna madini machache mno ya nickel...

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI KUU YATOA TAARIFA UPOTOSHAJI SARAFU YA SH. 500


Asilimia 94 ya madini katika sarafu ya sh. 500 ni chuma na asilimia 6 ni Nickel, ameeleza Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki katika Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Marcian Kobello.Pia ndivyo ilivyoelezwa wakati wa uzinduzi wa sarafu hii mnamo mwezi Septemba mwaka jana kabla haijaingizwa katika mzunguko mwezi Oktoba 2014.Bw. Kobello amesema hadi sasa sarafu zenye thamani ya sh. 1,162,000,000/- zimekwishasambazwa kote nchini na kwamba kuna kiasi cha kutosha cha sarafu hiyo endapo itahitajika."Hakuna...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI KUU YATOA TAARIFA KUHUSU upotoshaji unaoendelea juu ya Sarafu ya sh. 500/=

Asilimia 94 ya madini katika sarafu ya sh. 500 ni chuma na asilimia 6 ni Nickel, ameeleza Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki katika Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Marcian Kobello. 
Pia ndivyo ilivyoelezwa wakati wa uzinduzi wa sarafu hii mnamo mwezi Septemba mwaka jana kabla haijaingizwa katika mzunguko mwezi Oktoba 2014. 
Bw. Kobello amesema hadi sasa sarafu zenye thamani ya sh. 1,162,000,000/- zimekwishasambazwa kote nchini na kwamba kuna kiasi cha kutosha cha sarafu hiyo endapo itahitajika.
“Hakuna...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: TOLEO LA SARAFU YA SHILINGI MIA TANO

Benki Kuu ya Tanzania ndiyo chombo chenye jukumu la kutoa sarafu na noti halali (legal tender) zinazotumika nchini. Katika kutekeleza jukumu hili Benki Kuu hutengeneza noti na sarafu zenye uwiano mzuri wa thamani (denominations) unaozingatia uwezekano wa zile zenye thamani kubwa kuweza kugawika katika zile zenye thamani ndogo ndogo. 
Hii hulenga kurahisisha upatikanaji wa chenji na uwezekano wa wahitaji wa viwango mbalimbali vya bidhaa na huduma  kupata katika mafungu yatakayokidhi mahitaji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sarafu ya 500/- ni kuporomoka kwa shilingi?

TAKRIBANI wiki mbili zimepita tangu sarafu ya sh.  500 zilipoingia kwenye mzunguko wa fedha na kuanza kutumika  baada ya mchakato wa kubadilisha fedha hizo kutoka kwenye noti kwenda kwenye sarafu...

 

10 years ago

Mwananchi

THAMANI YA SHILINGI: Mtei aifunda Benki Kuu

>Gavana wa Kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Edwin Mtei  ametoa somo kwa benki hiyo kuinusuru shilingi isiendelee kuporomoka kwa kutumia akiba ya fedha za kigeni ilizonazo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani