Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA UMMA: TOLEO LA SARAFU YA SHILINGI MIA TANO

Benki Kuu ya Tanzania ndiyo chombo chenye jukumu la kutoa sarafu na noti halali (legal tender) zinazotumika nchini. Katika kutekeleza jukumu hili Benki Kuu hutengeneza noti na sarafu zenye uwiano mzuri wa thamani (denominations) unaozingatia uwezekano wa zile zenye thamani kubwa kuweza kugawika katika zile zenye thamani ndogo ndogo. 
Hii hulenga kurahisisha upatikanaji wa chenji na uwezekano wa wahitaji wa viwango mbalimbali vya bidhaa na huduma  kupata katika mafungu yatakayokidhi mahitaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Benki Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500

Mkurugenzi Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel Boaz(wa kwanza kulia) akiwaeleza waandishi wa habari(Hawapo Pichani) sababu zilizopelekea kutoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500, ambapo alisema noti ya shilingi 500 inatumika zaidi kwenye manunuzi ya kawaida ya kila siku hivyo hupita kwenye mikono ya watu wengi na kuchakaa haraka,noti hizi hukaa katika mzunguko kwa muda mrefu bila kurejeshwa kwenye mabenki na sarafu hukaa kwenye mzunguko kwa muda...

 

10 years ago

GPL

BENKI KUU YA TANZANIA IMETOA TOLEO JIPYA LA SARAFU YA SHILINGI 500‏

Sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014. BENKI Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014 itakayokuwa mbadala wa Noti ya shilingi 500 inayoonekana kuchakaa haraka. Noti ya 500 inayotumika sasa. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na Mkurugenzi wa Huduma za kibenki wa benki hiyo Bw. Emmanuel Boaz wakati wa mkutano na waandishi wa habari. “Noti...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sarafu ya 500/- ni kuporomoka kwa shilingi?

TAKRIBANI wiki mbili zimepita tangu sarafu ya sh.  500 zilipoingia kwenye mzunguko wa fedha na kuanza kutumika  baada ya mchakato wa kubadilisha fedha hizo kutoka kwenye noti kwenda kwenye sarafu...

 

11 years ago

Michuzi

AIRTEL yakabidhi shilingi million Tano kwa wanawake kwa ajili ya Tuzo ya Mwanamakuka 2014

 
Afisa uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde (kushoto) akimkabithi mfano wa hundimwenyekiti na Mratibu wa Mradi wa The Unity of Women friends Maryam Shamo wakati wa halfa ya Tuzo za Mwanamakuka 2014 ambapo Airtel Tanzania ni moja kati ya Wadhamini wa tuzo hizo,  Bi Leil Mwambungu aliibuka na kutangazwa mshindi wa mwanamakuka 2014. Akishuhudia ni Mkurugenzi  Mkuu wa Bank ya Wanawake  Tanzania Bi Margreth Chacha (wakwanza kulia), Hafla ya mwanamakuka ilifanyika jana katika ukumbi wa Escape 1...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Ambako daftari la mpiga kura limebandikwa. (Display)  NA.MIKOATAREHE YA KUANZATAREHE YA KUMALIZA1Njombe, Iringa,  Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Morogoro.
07/08/201511/08/20152Pwani na...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI DHIDI YA WASHIRIKI WA TMT 2015

Picha ya Post iliyopostiwa na Kijana ajulikanae kama Raffayel Mombury.Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waandaaji na waendeshaji wa shindano la Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo linaendelea kufanyika huku washiriki watano Wakiwa washaenguliwa katika shindano hilo Kutokana na Kutokupata kura za kutosha kutoka kwa watazamaji wa Kipindi hiko mahiri kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV siku ya jumapili saa tatu na nusu usiku.Proin...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani