VODACOM YAJIZATITI KUBADILISHA MAISHA YA WATANZANIA KUPITIA TEKNOLOJIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-q_zUTOe9x3U/VksIKTLYzKI/AAAAAAAIGXk/zwXXLm9ozDw/s72-c/001MDV.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari alipokuwa akitangaza mikakati ya kampuni hiyo kuipeleka Tanzania katika ulimwengu wa teknolojia na itakavyotumia kubadilisha maisha ya watanzania na kuwa bora zaidi.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakiwa katika mkutano wa waandishi wa habari na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Ian Ferrao (hayupo pichani)alipokuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6NI082Wc-Gc/XmN4fLYwgoI/AAAAAAALhsQ/WTDnRBV2vxo_WElcwyd7pGXY3fJQkTVoQCLcBGAsYHQ/s72-c/1-19-2048x1365.jpg)
Vodacom Tanzania yatoa hamasa kwa vijana kuijua Teknolojia ya Habari kupitia mradi wa Code Like A Girl
![](https://1.bp.blogspot.com/-6NI082Wc-Gc/XmN4fLYwgoI/AAAAAAALhsQ/WTDnRBV2vxo_WElcwyd7pGXY3fJQkTVoQCLcBGAsYHQ/s640/1-19-2048x1365.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/4-14-scaled.jpg)
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Rihanna: Naweza kubadilisha maisha ya Chris Brown
NEY YORK, MAREKANI
MSANII wa muziki nchini Marekani, Robyn Fenty ‘Rihanna’, amesema kuwa yeye ni mtu pekee anayeweza kumbadilisha, Chris Brown.
Awali wawili hao walikuwa wapenzi, walipoachana Chris akadondokea kwa Karrueche Tran, hata hivyo hakudumu naye baada ya Chris kuletewa mtoto na mpenzi wake wa zamani, Nia Guzman.
Kutokana na kuyumba huku katika mapenzi, Rihanna ameshindwa kuzuia hisia zake na kusema kuwa yeye ndiye mwanamke pekee anayeweza kumbadilisha msanii huyo.
“Nilimzoea sana...
10 years ago
Bongo506 Nov
Una kipaji cha kuimba? Airtel Trace Music Stars inaweza kubadilisha maisha yako!
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-otXIphiOreQ/Xq_tXlEvqXI/AAAAAAALpAQ/F7-_zyeNtHQAW8V28scS9owcrDb1qen9ACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-04%2Bat%2B12.01.47%2BPM.jpeg)
Teknolojia inavyotuwezesha kuendesha maisha na biashara
![](https://1.bp.blogspot.com/-otXIphiOreQ/Xq_tXlEvqXI/AAAAAAALpAQ/F7-_zyeNtHQAW8V28scS9owcrDb1qen9ACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-04%2Bat%2B12.01.47%2BPM.jpeg)
Mbali na njia mbalimbali za kupambana na maambukizi kama kufunga shule na kuzuia mikusanyiko, Watanzania wengi pia sasa wanatumia njia za kidijitali zaidi kuwasiliana na kuendesha maisha na shughuli zao za kila siku kwa sababu maisha lazima yaendelee. Ama kweli sasa kuungana kidijitali limekuwa jambo muhimu sana.
Mawasiliano ya kidijitali...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3DtnypFvu9E8H224Tq0glUMQWVAcPtplYNH7XOaLx7inarqf9N8EeipR6CU8lz92KNuMJ3dpYnHZJnzP2CAtYphzBfpBhb8H/150000080.jpg)
WATANZANIA TEKNOLOJIA INATUPELEKA WAPI?
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Teknolojia mpya ya KYC ya kusajili na kuhakiki namba za simu za mkononi kupitia Smartphone yazinduliwa nchini
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma akifungua mkutano na waandishi wa Habari na kuzungumzia umuhimu wa kusajili namba za simu za Mkononi na Mfumo mpya wa kusajili namba na kuhakiki kutumia Teknolojia mpya ya Kielekroniki..
Mwenyekiti wa umoja wa makampuni ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bwana Rene Meeza akitamka rasmi uzinduzi wa usajili mpya wa simu za mikononi kwa kutumia Teknolojia mpya ya kutumia smart...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-02oMoMeedSo/VflyJKDwVXI/AAAAAAAAIFU/btL4Aa5I2hs/s72-c/SIMBA%2BNEWS%2Bvoda-03.png)
Habari za Simba kupatikana kupitia mtandao wa Vodacom
![](http://3.bp.blogspot.com/-02oMoMeedSo/VflyJKDwVXI/AAAAAAAAIFU/btL4Aa5I2hs/s640/SIMBA%2BNEWS%2Bvoda-03.png)
Klabu ya soka ya Simba kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo zimezindua huduma mpya inayojulikana kama ‘Pata habari za klabu ya Simba’ ambayo itawawezesha wateja wanaotumia mtandao wa Vodacom kupata habari zinazohusiana na klabu ya Simba popote watakapokuwa hapa nchini.
Kampuni nyingine shirika katika kufanikisha huduma hii ni Premier mobile solution na EAG Group.Huduma hii mpya ya ‘Pata habari za klabu ya Simba’ni rahisi na ya ufanisi mkubwa kuwawezesha wateja...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-BMS19vebZgA/Xmt6RGCgHjI/AAAAAAAEGQQ/MIZKhF4xbtoVrK6c5rBGsSh29DjJ0u1LgCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_1927-768x513.jpg)
Vodacom kusaidia sekta ya Elimu kupitia TEHAMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-BMS19vebZgA/Xmt6RGCgHjI/AAAAAAAEGQQ/MIZKhF4xbtoVrK6c5rBGsSh29DjJ0u1LgCLcBGAsYHQ/s640/DSC_1927-768x513.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/DSC_1983-1024x684.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a2i9W9LD4Uc/VDvHiizl2OI/AAAAAAAGpws/tvNSYiM-rvo/s72-c/PR-Post-swa.png)