Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Una kipaji cha kuimba? Airtel Trace Music Stars inaweza kubadilisha maisha yako!

Kuna vipaji vingi vya muziki hapa nchini ambavyo kutokana na sababu mbalimbali, vimeshindwa kuonekana. Kikwazo kikubwa ni gharama za kuingia studio na kurekodi wimbo wenye kiwango kizuri cha kuchezwa redioni. Hata kwa wale waliofanikiwa kurekodi nyimbo zao, bado wanakutana na vikwazo vingi pale wanapopeleka nyimbo zao kwenye vituo vya redio. Kutokana na kuwepo wingi wa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Malimi Mayunga aenda marekani, kuimba na akon

Nalimi Mayunga , mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika, ameondoka nchini Jana kuelekea nchini Marekani kwa lengo la kupata mafunzo na kurekodi nyimbo yake Nalimi ameondoka usiku usiku wa kuamkia leo  kwenda kufanya kazi na nguli wa mzuki wa R&B nchini Marekani Bwana Akon ambapo anatarajiwa kukaa muda wa wiki moja kisha kurejea nyumbani tarehe 24 Novemba. Akiongea wakati halfa ya kumuaga, Afisa habari mwandamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Aristide Kwizera alisema”...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL TRACE MUSIC STAR KUIBUA VIPAJI VYA KUIMBA

Ommy Dimpoz akiwa katika pozi na bendi ya Yamoto. Yamoto wakitumbuiza. Raia wa…

 

9 years ago

Bongo5

Una kipaji cha kuimba? Unaweza kushinda zawadi kibao kutoka #TecnoOwnTheStage kwa kufanya hivi

12356592_764354003692580_994120953_n

Je una kipaji cha kuimba? Unahisi unaweza kuwafunika washiriki wa shindano la Tecno Own The Stage?

Basi una nafasi ya kushinda zawadi kibao kutoka Tecno.

Unachotakiwa kufanya ni kuupload video ya sekunde 15 ya wimbo alioimba mshiriki yeyote na kuipost kwenye ukurasa wa Facebook wa TECNO Own The Stage.

Video yako ikipata likes nyingi utashinda zawadi kila wiki.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatangaza tano bora ya shindano la Airtel Trace Music Stars

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars.Kulia ni Meneja Masoko wa Airtel,Anethy Muga.Meneja Masoko wa Airtel Tanzania,Anethy Muga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars.Kushoto ni Meneja Uhusiano wa...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAIPELEKA AIRTEL TRACE MUSIC STARS MIKOANI‏

Msanii  chipukizi wa kijiwe cha Matofali jijini Morogoro ajulikanaye kwa jina la Jibwa Kali akionyesha umahiri wake wa kuimba wakati Airtel ilipotembelea vijiwe mbalimbali mkonia Morogoro na kuzindua mashindano ya Airtel Trace Mkoani humo.…

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatangaza kumi bora wa wiki wa shindano la Airtel Trace Music Stars

Meneja uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando (kulia)  na Meneja masoko wa Airtel Tanzania, Bi. Aneth Muga (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa Airtel Trace Music Stars leo mara baada ya washiriki hao kuongea na waandishi wa habari kwaajili ya kuomba wananchi kuwapigia kura.Meneja uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipotangaza washiriki waliongia nafasi ya kumi bora katika mashindano ya Airtel Trace...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaipeleka Airtel Trace Music Stars Mikoani

  Msanii  chipukizi wa kijiwe cha Matofali jijini Morogoro ajulikanaye kwa jina la Jibwa Kali akionyesha umahiri wake wa kuimba wakati Airtel ilipotembelea vijiwe mbalimbali mkonia Morogoro na kuzindua mashindano ya Airtel Trace Mkoani humo Msanii  chipukizi ajulikanaye kwa jina la Hamisi Ramadhani aka Brashi Waya 2akionyesha umahiri wake wa kuimba wakati Airtel ilipotembelea vijiwe mbalimbali mkonia Morogoro na kuzindua mashindano ya Airtel Trace Mkoani humo. Pichani ni mashabiki na...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL TRACE MUSIC STARS YATANGAZA 10 BORA LEO

Kushoto ni Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipotangaza washiriki waliongia nafasi ya kumi bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars kwa wiki hii. Kulia ni Aneth Muga Meneja Masoko wa Airtel anaesimamia mashindano hayo ya Airte Trace Music Stars. Hafla ya kutangaza washiriki hao10 bora imefanyika makao makuu ya Airtel jijini dar es salaam leo.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaandaa uzinduzi wa Airtel Music Trace kesho Coco Beach

Kampuni ya simu za mkononi Airtel inawatangazia wateja wake, wasanii na wanamuziki kuwa yale mashindano yanayotoa fulsa kwa wenye vipaji ya Airtel Trace yanazinduliwa rasmi kesho katika viwanja vya Coco beach jijini Dar es saalam kuanzia saa 12 jioni.
Uzinduzi huu utawashirikisha wasanii Wakali nchini akiwemo Ommy Dimples pamoja na kundi zima la ya YAMOTO BAND kwa burudani kabambe kwa umati utakao jitokeza hapo kesho katika viwanja hivyo.
Akitoa maelezo kuhusu uzinduzi huo, Meneja Masoko wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani