Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Una kipaji cha kuimba? Unaweza kushinda zawadi kibao kutoka #TecnoOwnTheStage kwa kufanya hivi

12356592_764354003692580_994120953_n

Je una kipaji cha kuimba? Unahisi unaweza kuwafunika washiriki wa shindano la Tecno Own The Stage?

Basi una nafasi ya kushinda zawadi kibao kutoka Tecno.

Unachotakiwa kufanya ni kuupload video ya sekunde 15 ya wimbo alioimba mshiriki yeyote na kuipost kwenye ukurasa wa Facebook wa TECNO Own The Stage.

Video yako ikipata likes nyingi utashinda zawadi kila wiki.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Una kipaji cha kuimba? Airtel Trace Music Stars inaweza kubadilisha maisha yako!

Kuna vipaji vingi vya muziki hapa nchini ambavyo kutokana na sababu mbalimbali, vimeshindwa kuonekana. Kikwazo kikubwa ni gharama za kuingia studio na kurekodi wimbo wenye kiwango kizuri cha kuchezwa redioni. Hata kwa wale waliofanikiwa kurekodi nyimbo zao, bado wanakutana na vikwazo vingi pale wanapopeleka nyimbo zao kwenye vituo vya redio. Kutokana na kuwepo wingi wa […]

 

9 years ago

Bongo5

Mshindi wa #TecnoOwntheStage kujishindia shilingi milioni 55 na zawadi zingine kibao

Tcno

Mshindi wa shindano la kusaka vipaji kwa kuimba nyimbo za karaoke, Tecno Own The Stage Show ataenda nyumbani na kitita cha $25,000 ambacho ni zaidi ya shilingi milioni 55.

Tcno

Shindano hilo linaloendelea, linahusisha washiriki kutoka Tanzania, Kenya na Nigeria.

Pamoja na kiasi hicho cha fedha, mshindi atarekodi wimbo na jaji/mwalimu wake pamoja na kufanyika video kubwa.

Pia ataungana na msanii maarufu miongoni maw majaji wa shindano hilo kwenye show zake. Atazawadiwa pia simu mpya ya 
Tecno...

 

10 years ago

Bongo Movies

Una Kipaji cha Kuigiza?! Kampuni ya Eagles Inakuhitaji

Kampuni ya Eagles Entertainment inayojishughulisha na utengenezaji wa muziki na filamu ipo katika mikakati ya kufanya usaili kwa ajili ya maandalizi ya kurekodi tamthilia kali na ya kipekee hapa Bongo, mkurugenzi wa kampuni hiyo Yuster Nyakachara anafafanua.

Tutakuwa na zoezi la kutafuta wasanii wenye vipaji kwa ajili ya tamthilia yetu ambayo ni ya kipekee kabisa kutengenezwa na ratiba yetu ni kuanza kushuti mwezi wa saba,”anasema Mghesi.

Kampuni inatarajia kuanza kufanya usaili mapema...

 

10 years ago

Michuzi

MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU KUTOKA MAREKANI ATUA NCHINI LEO, KUFANYA KONGAMANO LA WATOTO NA WAZAZI KESHO JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu
MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kama ‘King Nahh’(Pichani), ametua  jijini Dar es Salaam , leo.
King Nahh aliambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson  ambapo wapo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Kesho mtoto huyo atafanya  kongamano kubwa  la watoto na wazazi  katika Ukumbi wa Urafiki ambapo nia na madhumuni ni...

 

10 years ago

Vijimambo

GRACE MAGORI MTOTO WA KITANZANIA MWENYE KIPAJI CHA KUIMBA AZIDI KUPAA DMV

Mtoto Grace Magori mwenye umri wa miaka 12 ambaye yupo 6 grade (darasa la 6) Columbia, Maryland mchini Marekani anazidi kupaa baada ya siku ya Jumamosi Novemba 15, 20`14 kuimba kwenye onyesho lililobeba jina la "Studio Recital" katika uimbaji huo ambo Grace Magori ndio mtoto pekee aliyeimba nyimbo alizoandika na kuzitengeneza yeye mwenyewe. Watoto wengine waliokuwepo kwenye onesho hilo ni  Jack Zhao aliyeimba wimbo wa mahadhi ya Kihindi, Cindy Zhao aliyeimba wimbo wa Willie and Tillie- Swan...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, unaweza kushinda tabia ya wivu?

Je, una ndugu au jamaa mwenye wivu? Unafikiri ana tabia hiyo kwa nini? Je, maisha yake yakoje? Anapendwa na ndugu zake? Je, anafanya mambo gani yanayokufanya uone ana wivu?

 

11 years ago

GPL

‘UWAZI’ LAGAWA ZAWADI KIBAO KWA WASOMAJI GONGO LA MBOTO!

Msomaji aliyejulikana kwa jina  la Mama Irene akipewa zawadi na Mr. Uwazi. Binti aliyejitambulisha kwa jina la Nasra akiwa na Mr. Uwazi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani