Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshindi wa #TecnoOwntheStage kujishindia shilingi milioni 55 na zawadi zingine kibao

Tcno

Mshindi wa shindano la kusaka vipaji kwa kuimba nyimbo za karaoke, Tecno Own The Stage Show ataenda nyumbani na kitita cha $25,000 ambacho ni zaidi ya shilingi milioni 55.

Tcno

Shindano hilo linaloendelea, linahusisha washiriki kutoka Tanzania, Kenya na Nigeria.

Pamoja na kiasi hicho cha fedha, mshindi atarekodi wimbo na jaji/mwalimu wake pamoja na kufanyika video kubwa.

Pia ataungana na msanii maarufu miongoni maw majaji wa shindano hilo kwenye show zake. Atazawadiwa pia simu mpya ya 
Tecno...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Una kipaji cha kuimba? Unaweza kushinda zawadi kibao kutoka #TecnoOwnTheStage kwa kufanya hivi

12356592_764354003692580_994120953_n

Je una kipaji cha kuimba? Unahisi unaweza kuwafunika washiriki wa shindano la Tecno Own The Stage?

Basi una nafasi ya kushinda zawadi kibao kutoka Tecno.

Unachotakiwa kufanya ni kuupload video ya sekunde 15 ya wimbo alioimba mshiriki yeyote na kuipost kwenye ukurasa wa Facebook wa TECNO Own The Stage.

Video yako ikipata likes nyingi utashinda zawadi kila wiki.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

10 years ago

Bongo5

Idris Sultan aibuka mshindi wa shilingi milioni 514 za Big Brother

Idris Sultan ndio mshindi wa Big Brother Africa Hotshots. Baada ya kutupa karata yake kwa takriban miezi miwili ndani ya jumba hilo lililopo nchini Afrika Kusini, Afrika imemchagua kuwa mshindi wa msimu huo wa Big Brother na hivyo kushinda kitita cha $300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 514 za Tanzania. Idris ambaye ni mpiga […]

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE.

 Mkuu wa Vodacom Tanzania  kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto)akimkabidhi kitita  cha shilingi Milioni 10/- James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.  Mshindi wa kitita cha Shilingi Milioni 10/- kupitia promosheni ya...

 

10 years ago

Bongo5

Kanye West atumia shilingi milioni 125 kumnunuliaa mwanae zawadi za Christmas

Kanye West anadaiwa kutumia $74,000 (zaidi ya shilingi milioni 125) kumnunulia mwanae North zawadi Christmas. Chanzo kimoja kimeliambia jarida la Heat kuwa Kanye alitumia $62,000 kununua tiara (crown) iliyozungushiwa almas pamoja na mdoli wa gari inayofanana na SUV yake alioununua kwa $12,000. Chanzo kingine kimedai kuwa Kanye amepanga kumfanyia mke wake Kim surprise ya nguvu.

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE‏

Mkuu wa Vodacom Tanzania  kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/-James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza ,alizojishindia kupitia promosheni ya Jay Millions inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.… ...

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Kwa gari jipya na zawadi ya shilingi milioni 250, harusi ya Pastor Myamba ni funika bovu!

Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi. Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine. Pastor Myamba na mkewe […]

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO

.Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama  ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO‏

Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama  ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...

 

11 years ago

GPL

JIUNGE NA UKURASA WETU WA FACEBOOK KUJISHINDIA ZAWADI HAPA

JIUNGE NA UKURASA WETU FACEBOOK UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZA MJINI >> GLOBAL PUBLISHERS

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani