Picha: Kwa gari jipya na zawadi ya shilingi milioni 250, harusi ya Pastor Myamba ni funika bovu!
Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi. Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine. Pastor Myamba na mkewe […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies04 Aug
Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250 kwenye harusi yake.
Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar.
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Minoti ya zawadi yamchanganya Pastor Myamba
![Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Emmanuel-Myamba.jpg)
Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba
NA PAULINA LYAPA (TUDARCO)
MWIGIZAJI wa filamu za bongo, Emmanuel Myamba, maarufu kwa jina la Pastor Myamba, amesema hakutegemea kupata kiasi kikubwa cha zawadi ya fedha katika sherehe ya harusi yake iliyofanyika Visiwani Zanzibar katika ukumbi wa Bwawani, hali ambayo anaona inamchanganya.
Katika sherehe hiyo, mwigizaji huyo alipokea zawadi mbalimbali kutoka ndugu, jamaa na marafiki wa karibu, zikiwemo fedha alizokabidhiwa na kamati zilizobebwa...
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Yanga ‘funika bovu’
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
FUNIKA Bovu! Ndivyo unavyoweza kuielezea timu ya Yanga ikiwa ni baada ya kuweka rekodi ya kutwaa taji la Ngao ya Jamii mara tano tofauti na timu nyingine yoyote Tanzania.
Yanga imeandika rekodi hiyo mara baada ya kuiliza Azam FC juzi kwa mikwaju ya penalti 8-7 kufuatia suluhu ndani ya dakika 90 na kutwaa taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo mbele ya matajiri hao.
Wanajangwani hao wametwaa taji hilo tena mwaka 2001 na 2010 kwa kuifunga Simba mara mbili. Hivyo...
10 years ago
Bongo503 Sep
Angelina Jolie na Brad Pitt wauza picha zao za harusi kwa shilingi bilioni 3.3
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CWRwFfvur*DOG3SSKLCTR5BVn8RhoHcHnXNI2mmQXkiMlzeMTxvxMHr3eI6tX91HWz6UaM2op1dDFyaSFluG*9nkNNw7PedY/IMG_0554.jpg?width=650)
SERENGETI FIESTA SHINYANGA FUNIKA BOVU
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-tGBxwdXutcA/Va0L5RIGLjI/AAAAAAAAiE4/l0bZ5iTI62o/s72-c/22.jpg)
MKUTANO WA MAGUFULI MJI MDOGO WA MGANZA FUNIKA BOVU
![](http://1.bp.blogspot.com/-tGBxwdXutcA/Va0L5RIGLjI/AAAAAAAAiE4/l0bZ5iTI62o/s640/22.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-WwLxq0THsPE/Va0L5x2MKjI/AAAAAAAAiE8/_JEpPuNSUfA/s640/24.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-jFTyiVZNaZQ/Va0LzEf88HI/AAAAAAAAiEE/4YT5CFUsods/s640/14.jpg)
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Kili Dar funika ‘bovu’: Mashabiki waikubali, waipongeza TBL
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0jwS8IDgkuV4dACvGXbc9n*xUKArKidi48HNS9VzgiutZldDbutCZsZgUcacKnJovVn0l83uS3p3Iv7tbReTYi-WUDWQE*tr/wema.jpg?width=650)
WEMA AMHARIBIA PASTOR MYAMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jzr4bFdy-IJ1T2B0IMNtNePix5-N9A7HGXC36IsDJx6MQaXWBAQYZPkzIeQXdL3lQv-42iVfU7SAAoo73cTzlTa/pastor.jpg)
PASTOR MYAMBA NDOA YA KUFURU!