WEMA AMHARIBIA PASTOR MYAMBA
![](http://api.ning.com:80/files/0jwS8IDgkuV4dACvGXbc9n*xUKArKidi48HNS9VzgiutZldDbutCZsZgUcacKnJovVn0l83uS3p3Iv7tbReTYi-WUDWQE*tr/wema.jpg?width=650)
Na Waandishi Wetu STAA wa filamu mwenye jina kubwa nchini, Wema Sepetu hivi karibuni alimuharibia siku Emanuel Myamba maarufu kama Pastor Muyamba, kwa kushindwa kufika kwenye hafla iliyokuwa imeandaliwa na chuo chake cha sanaa ‘TFTC’ akiwa kama mgeni rasmi. Mtoa habari wetu ndani ya taasisi hiyo aliliambia gazeti hili kuwa, Wema aliombwa na kukubali kuhudhuria shughuli hiyo, lakini alipopigiwa simu dakika za mwisho...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BvvAZRNFqnTZu92vkIVUUurbN39syITZhjnVudK*kh5AM2AIeaULgPvRcU5QRMdg4IJEB4NW7kzolWhMtAoLQXw3MxJNHaGo/1MYAMBACAR.jpg?width=650)
PASTOR MYAMBA APATA AJALI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jzr4bFdy-IJ1T2B0IMNtNePix5-N9A7HGXC36IsDJx6MQaXWBAQYZPkzIeQXdL3lQv-42iVfU7SAAoo73cTzlTa/pastor.jpg)
PASTOR MYAMBA NDOA YA KUFURU!
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Minoti ya zawadi yamchanganya Pastor Myamba
![Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Emmanuel-Myamba.jpg)
Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba
NA PAULINA LYAPA (TUDARCO)
MWIGIZAJI wa filamu za bongo, Emmanuel Myamba, maarufu kwa jina la Pastor Myamba, amesema hakutegemea kupata kiasi kikubwa cha zawadi ya fedha katika sherehe ya harusi yake iliyofanyika Visiwani Zanzibar katika ukumbi wa Bwawani, hali ambayo anaona inamchanganya.
Katika sherehe hiyo, mwigizaji huyo alipokea zawadi mbalimbali kutoka ndugu, jamaa na marafiki wa karibu, zikiwemo fedha alizokabidhiwa na kamati zilizobebwa...
11 years ago
Bongo Movies04 Aug
Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250 kwenye harusi yake.
Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar.
11 years ago
Bongo503 Aug
Picha: Kwa gari jipya na zawadi ya shilingi milioni 250, harusi ya Pastor Myamba ni funika bovu!
10 years ago
Bongo Movies06 Mar
Vijana wa Myamba Waja na The Lost Students
Fred Kachonga mwanafunzi kutoka katika Chuo cha TFTC cha Pastor Myamba ameanza rasmi baada ya kumaliza masomo yake katika chuo hicho kwa kuwakusanya wasomi wenzake na kuingia na filamu kali na ya kusisimua ya The Lost Students mtunzi akiwa ni Fred mwenyewe na kazi tayari imekamilika.
“Baada ya kumaliza masomo tuliona ni vema kuingia location na kufanya kazio ya mfano kwa jamii na wadau wa tasnia wajue ni kweli kuna kitu tumepata kutoka TFTC, mimi na rafiki zangu, Erick, Janeth na Ben...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRASUU-aSTcr8Xk4ewE4F1h0SB0qTsllZ-VASTxoA*z7a4OLnLONcqCcoBgUz0l-Z2PXPHKjL6FEwr8xkWYHVZboZ/fuska.jpg?width=650)
PASTOR FUSKA ANASWA!
9 years ago
BBC20 Aug
Kenyan pastor charged over crash
10 years ago
BBC10 Aug
SA 'snake pastor' church raided