Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana wa Myamba Waja na The Lost Students

Fred Kachonga mwanafunzi kutoka katika Chuo cha TFTC cha Pastor Myamba ameanza rasmi baada ya kumaliza masomo yake katika chuo hicho kwa kuwakusanya wasomi wenzake na kuingia na filamu kali na ya kusisimua ya The Lost Students mtunzi akiwa ni Fred mwenyewe na kazi tayari imekamilika.

“Baada ya kumaliza masomo tuliona ni vema kuingia location na kufanya kazio ya mfano kwa jamii na wadau wa tasnia wajue ni kweli kuna kitu tumepata kutoka TFTC, mimi na rafiki zangu, Erick, Janeth na Ben...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PASTOR MYAMBA APATA AJALI

Taswira baada ya ajali hiyo. STAA wa filamu za Kibongo, anayepatia zaidi kuigiza kama Mchungaji, Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ amepata ajali baada ya gari lake aina ya Toyota Creasta kugongwa na gari lingine leo mchana katikati ya Boko na Bunju jijini Dar es Salaam. Katika ajali hiyo, hakuna mtu aliyejeruhiwa zaidi ya magari hayo mawili kuharibika. Kwa mujibu wa Pastor Myamba, dereva aliyekuwa akiendesha gari...

 

11 years ago

GPL

WEMA AMHARIBIA PASTOR MYAMBA

Na Waandishi Wetu
STAA wa filamu mwenye jina kubwa nchini, Wema Sepetu hivi karibuni alimuharibia siku Emanuel Myamba maarufu kama Pastor Muyamba, kwa kushindwa kufika kwenye hafla iliyokuwa imeandaliwa na chuo chake cha sanaa ‘TFTC’ akiwa kama mgeni rasmi. Mtoa habari wetu ndani ya taasisi hiyo aliliambia gazeti hili kuwa, Wema aliombwa na kukubali kuhudhuria shughuli hiyo, lakini alipopigiwa simu dakika za mwisho...

 

11 years ago

GPL

PASTOR MYAMBA NDOA YA KUFURU!

Stori:  Joseph Shaluwa na Gladness Mallya KUFURU! Staa wa filamu za Kibongo, anayepatia zaidi kuigiza kama Mchungaji, Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ amefunga ndoa ya kihistoria ambayo imeteketeza mamilioni kuikamilisha, Risasi Mchanganyiko lina sinema nzima. Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’na mkewe Praxceda Kassela wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa. Pastor Myamba amefunga ndoa na...

 

11 years ago

Mtanzania

Minoti ya zawadi yamchanganya Pastor Myamba

Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba

Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba

NA PAULINA LYAPA (TUDARCO)

MWIGIZAJI wa filamu za bongo, Emmanuel Myamba, maarufu kwa jina la Pastor Myamba, amesema hakutegemea kupata kiasi kikubwa cha zawadi ya fedha katika sherehe ya harusi yake iliyofanyika Visiwani Zanzibar katika ukumbi wa Bwawani, hali ambayo anaona inamchanganya.

Katika sherehe hiyo, mwigizaji huyo alipokea zawadi mbalimbali kutoka ndugu, jamaa na marafiki wa karibu, zikiwemo fedha alizokabidhiwa na kamati zilizobebwa...

 

9 years ago

TV

McAuley High School students give to Tanzanian students - WCSH


WCSH-TV
McAuley High School students give to Tanzanian students
WCSH-TV
The students filled a 40-foot shipping container full items to help Tanzanian students get an education. Loading… Post to Facebook. McAuley High School students give to Tanzanian students The students filled a 40-foot shipping container full items to ...
McAuley students and staff send supplies to TanzaniaWMTW Portland

all 2

 

11 years ago

Bongo Movies

Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250 kwenye harusi yake.

Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar.

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Kwa gari jipya na zawadi ya shilingi milioni 250, harusi ya Pastor Myamba ni funika bovu!

Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi. Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine. Pastor Myamba na mkewe […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

WAJA kusomesha wanafunzi 20

TAASISI ya WAJA imeahidi kuwasomesha bure kuanzia kidato cha tano hadi cha sita wanafunzi 20 wanaotoka kwenye familia duni na yatima waliofaulu katika mitihani ya kuhitimu kidato cha nne mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani