Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga ‘funika bovu’

yangaNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

FUNIKA Bovu! Ndivyo unavyoweza kuielezea timu ya Yanga ikiwa ni baada ya kuweka rekodi ya kutwaa taji la Ngao ya Jamii mara tano tofauti na timu nyingine yoyote Tanzania.

Yanga imeandika rekodi hiyo mara baada ya kuiliza Azam FC juzi kwa mikwaju ya penalti 8-7 kufuatia suluhu ndani ya dakika 90 na kutwaa taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo mbele ya matajiri hao.

Wanajangwani hao wametwaa taji hilo tena mwaka 2001 na 2010 kwa kuifunga Simba mara mbili. Hivyo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA SHINYANGA FUNIKA BOVU

Ommy Dimpoz akiimba na mashabiki waliofurika ndani ya Uwanja wa Kambarage. Nyomi ya watu ikipiga shangwe la kufa mtu uwanjani hapo.…

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MAGUFULI MJI MDOGO WA MGANZA FUNIKA BOVU

Umati wa watu waliojitokeza kwenye mkutano wa Magufuli kwenye mji mdogo wa Mganza.Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa kata ya Mganza ambapo aliwaaga rasmi baada ya kuwatumikia kwa miaka 20 kama mbunge wao.Umati wa wakazi wa mji mdogo wa Mganza waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM aliwashukuru na kuwaaga kwa miaka 20 aliowatumikia kama Mbunge wao na kuwataka wananchi wachague Mbunge mchapakazi kama...

 

10 years ago

Mwananchi

Kili Dar funika ‘bovu’: Mashabiki waikubali, waipongeza TBL

Ziara ya kimuziki ya Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita ilifikia kikomo chake kwa kishindo jijini Dar es Salaam baada ya zoezi la kufunga tamasha kwa burudani kali kuchangamka kwa takriban saa zote nane huku umati mkubwa wa watu ukiwa umehamasika kwa kiasi kikubwa kutokana na burudani iliyokuwa ikitolewa licha ya mvua za hapa na pale zilizokuwa zinanyesha.

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Kwa gari jipya na zawadi ya shilingi milioni 250, harusi ya Pastor Myamba ni funika bovu!

Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi. Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine. Pastor Myamba na mkewe […]

 

10 years ago

Michuzi

Mnuso wa Tanzania Bloggers Network (TBN) funika bovu dar es salaam serena hotel usiku huu

Mgeni Rasmi Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Mhe Kajubi Mukajanga (kati) akiwa na Ankal na Anko John KitimeKutoka kushoto ni Woinde Shizza, Othman Michuzi, Pam Mollel, Zainul Mzige  na Karim Mgeni Rasmi Mhe Kajubi Mukajanga akikata ndafu wa TBN. Kushoto kwake ni mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani na kulia ni Kelvin Twissa, Mdhamini mkuu wa Mnuso huo pamoja  na Rachel Pallangyo wa TBNMkuu wa ukumbi (floor manager) Monica Joseph Mara akiongoza wana TBN kuserebuka
 Ankal akiwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kilichofanyika ni funika kombe Mwanaharamu apite

Machi 11 mwaka huu, Bunge Maalumu la Katiba, lilipitisha kanuni zake zitakazosimamia uendeshaji wa Bunge hilo, lakini likiacha kanuni muhimu za namna ya kufanya uamuzi kwa kura.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika alia na Magufuli barabara Tangi bovu

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtaka Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli kuchukua hatua za haraka kuharakisha ujenzi wa barabara ya Tangi Bovu Goba kama alivyoahidi bungeni hivi karibuni....

 

10 years ago

GPL

UBOMOAJI WA GHOROFA ‘BOVU’ DAR WAKWAMA

Ghorofa la Indira Gandhi jijini Dar es Salaam ambalo linadaiwa kujengwa chini ya kiwango na ambalo lilikuwa libomolewe leo. GHOROFA ambalo lilikuwa libomolewe leo jijini Dar es Salaam kutokana na kudaiwa kuwa limejengwa chini ya kiwango bado limeendelea kuwepo, kuonyesha kwamba zoezi hilo limekwama. Ghorofa hilo lililopo Mtaa wa Indira  Ghandi lilikuwa libomolewe leo kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani