Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBOMOAJI WA GHOROFA ‘BOVU’ DAR WAKWAMA

Ghorofa la Indira Gandhi jijini Dar es Salaam ambalo linadaiwa kujengwa chini ya kiwango na ambalo lilikuwa libomolewe leo. GHOROFA ambalo lilikuwa libomolewe leo jijini Dar es Salaam kutokana na kudaiwa kuwa limejengwa chini ya kiwango bado limeendelea kuwepo, kuonyesha kwamba zoezi hilo limekwama. Ghorofa hilo lililopo Mtaa wa Indira  Ghandi lilikuwa libomolewe leo kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kili Dar funika ‘bovu’: Mashabiki waikubali, waipongeza TBL

Ziara ya kimuziki ya Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita ilifikia kikomo chake kwa kishindo jijini Dar es Salaam baada ya zoezi la kufunga tamasha kwa burudani kali kuchangamka kwa takriban saa zote nane huku umati mkubwa wa watu ukiwa umehamasika kwa kiasi kikubwa kutokana na burudani iliyokuwa ikitolewa licha ya mvua za hapa na pale zilizokuwa zinanyesha.

 

11 years ago

Michuzi

JAHAZI YAFUNIKA BOVU SIKUKUU YA EID DAR LIVE CHINI YA VODACOM TANZANIA

Hakika Mzee Yusuph ni mfalme katika muziki wa taarabu maneno hayo yamedhihirika jana usiku, katika viwanja vya Dar Live –Mbagala baada ya kudondosha bonge la shoo, babu kubwa chini ya udhamini wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania pamoja na Global Publishers. Shoo nzima ilihudhuriwa na watu kibao, kiasi kwamba mashabiki walikosa sehemu ya kukaa na kuwabidi kucheza mwanzo mwisho. Umati wa mashabiki wa muziki wa Taarabu ulivyofurika katika ukumbi wa Dar Live jana kwenye Tamasha la...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge: Jengo la ghorofa 16 Dar livunjwe

BUNGE limesisitiza kuwa jengo la ghorofa 16 lililoko katika Mtaa wa Indira Gandhi, Dar es Salaam ambalo liliagiza mwaka jana livunjwe, agizo hilo litekelezwe.

 

10 years ago

Michuzi

JENGO LA GHOROFA 16 KUBOMOLEWA JIJINI DAR.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.JENGO la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam linatarajiwa kubomolewa kwa kuwa linadaiwa kujengwa chini ya kuiwango.


 Amri hiyo imetolewa na  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Uwepo wa jingo hilo ambalo limejengwa chini ya kiwango limezua hofu kubwa kwa wakazi wa eneo hilo,kwani jingo hilo lipo karibu na jingo jingine lililokuwa na ghorofa 16 ambalo lilianguka...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Majengo ya ghorofa yatishia maisha Dar


NA MWANDISHI WETU
WAMILIKI wa baadhi ya majengo wamekiuka amri iliyotolewa na serikali ya kuzuia matumizi ya majengo ambayo bado yanaendelea na ujenzi, jambo linalohatarisha maisha ya watu.
Hali hiyo imeonekana katika mitaa mbalimbali ya katikati ya jiji la Dar es Salaam, ambapo maghorofa mengi ambayo ujenzi wake haujakamilika, yanatumika kwa kufunguliwa ofisi na maduka huku ujenzi ukiendelea.
Machi 11 mwaka 2010, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi,...

 

10 years ago

Michuzi

Mnuso wa Tanzania Bloggers Network (TBN) funika bovu dar es salaam serena hotel usiku huu

Mgeni Rasmi Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Mhe Kajubi Mukajanga (kati) akiwa na Ankal na Anko John KitimeKutoka kushoto ni Woinde Shizza, Othman Michuzi, Pam Mollel, Zainul Mzige  na Karim Mgeni Rasmi Mhe Kajubi Mukajanga akikata ndafu wa TBN. Kushoto kwake ni mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani na kulia ni Kelvin Twissa, Mdhamini mkuu wa Mnuso huo pamoja  na Rachel Pallangyo wa TBNMkuu wa ukumbi (floor manager) Monica Joseph Mara akiongoza wana TBN kuserebuka
 Ankal akiwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wakwama Kimara Dar es Salaam

Wapiga kura katika eneo la Kimara Stop Over, jijini Dar es Salaam hawajafanikiwa kupiga kura kufikia sasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Abiria 900 wakwama Dar baada ya treni ya mzigo kupata ajali

Watu zaidi ya 900 wamekwama katika stesheni ya Pugu jijini Dar es Salaam tangu jana usiku baada ya treni ya mizigo kuangusha mabehewa na kuzuia njia.

 

11 years ago

GPL

ABIRIA WAKWAMA NJIANI BAADA YA MALORI KUFUNGA BARABARA YA MWANZA - DAR

Baadhi ya abiria wakiwa eneo hilo la foleni baada ya malori kufunga barabara. ...Hawa waliamua kukaa barabarani wakisubiri mwongozo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani