JAHAZI YAFUNIKA BOVU SIKUKUU YA EID DAR LIVE CHINI YA VODACOM TANZANIA
Hakika Mzee Yusuph ni mfalme katika muziki wa taarabu maneno hayo yamedhihirika jana usiku, katika viwanja vya Dar Live –Mbagala baada ya kudondosha bonge la shoo, babu kubwa chini ya udhamini wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania pamoja na Global Publishers. Shoo nzima ilihudhuriwa na watu kibao, kiasi kwamba mashabiki walikosa sehemu ya kukaa na kuwabidi kucheza mwanzo mwisho. Umati wa mashabiki wa muziki wa Taarabu ulivyofurika katika ukumbi wa Dar Live jana kwenye Tamasha la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMZEE YUSUF NA JAHAZI WAWASHA MOTO DAR LIVE SIKUKUU YA KRISMASI
11 years ago
GPLJAHAZI MODERN TAARAB WAFUNIKA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD MOSI
10 years ago
MichuziALLY KIBA KUANGUSHA BONGE YA SHOO DAR LIVE KATIKA TAMASHA LA MWANA CHINI YA VODACOM TANZANIA
10 years ago
GPLBURUDANI ZA WATOTO SIKUKUU YA EID EL FITRI DAR LIVE
10 years ago
GPLMZEE YUSUF AZIKONGA NYOYO ZA MASHABIKI SIKUKUU YA EID MOSI, DAR LIVE
10 years ago
MichuziDiamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach
11 years ago
GPLJAHAZI YATISHA DAR LIVE
11 years ago
GPLJAHAZI YAPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE