Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALLY KIBA KUANGUSHA BONGE YA SHOO DAR LIVE KATIKA TAMASHA LA MWANA CHINI YA VODACOM TANZANIA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na jinsi anavyojiandaa kuwapagawisha mashabiki wake katika Tamasha la Mwana Dar Live lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam siku ya Pasaka.Wengine katika picha kushoto Msanii wa nyimbo za mchiriku Sueleman Jabiri”Msaga Sumu” na Kiongozi wa kikundi cha Warriors Damian Darada(kulia). Meneja Uhusiano wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWANA FA KUANGUSHA BONGE LA SHOO NYUMBANI TANGA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA(kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapopichani)kuhusiana na maandiliziya shoo yakeya“Vodacom life is better”atakayoifanya siku ya ijumaa kwenye klabuya La Casachika mjini Tanga, Anaeshuhudia katikati ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusianowa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia na kulia ni Meneja wa msanii huyo LusajoMwaisaka.… ...

 

10 years ago

CloudsFM

Ali Kiba atua Moshi kuangusha bonge la shoo leo Club Laliga

Mkali wa Bongo Fleva,Ali Kiba leo ataangusha bonge la shoo kwenye klabu ya Laliga mjini Moshi,mkoani Kilimanjaro kwa na leo itakuwa ni mwendo wa LIVE BAND leo Moshi patakuwa hapatoshi.

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA AFUNIKA SHOO YA MWANA DAR LIVE

Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar Live. Mashabiki wa Ali Kiba wakishow love. Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakizidi kuwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.…

 

10 years ago

Michuzi

MwanaFA atembelea kituo cha watoto yatima kabla ya kuangusha bonge la shoo ya"Vodacom Life is better"Tanga

Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Diana kilichopo jijini Tanga Tatu Chamchuo Akipokea zawadi ya jezi kutoka mwanamziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo fleva Mwana FA alizozikabidhi kwa niaba ya Vodacom Tanzania,Mwanamziki huyo alitembelea kituo hicho kabla ya kufanya shoo yake ya"Vodacom Life is better" katika ukumbi wa Lacasachika mjini Tanga hapo jana. Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo fleva MwanaFA akipiga picha kwa kutumia simu yake ya mkononi pamoja na mshindi wa wa...

 

10 years ago

Michuzi

ALI KIBA AFUNIKA SHOO YA MWANA DAR LIVE, ACHEKECHA NA KUCHEKETUA

MSANII wa kizazi kipya anayetamba na wimbo wa Chekecha Cheketua, Ali Saleh ‘Kiba’ amewapagawisha vilivyo mashabiki wake waliojitokeza katika shoo ya Mwana Dar Live kwenye Sikukuu ya Pasaka katika Ukumbi wa Taifa wa Burudani, Dar Live, Mbagala jijini Dar es Salaam.
Ali Kiba akiwa sambamba na mdogo wake Abdul Kiba waliangusha bonge la burudani huku wakiimba nyimbo zao zote kwa kutumia vyombo vya jukwaani ‘live band’.

Shoo hiyo ilisindikizwa na Isha Mashauzi akiwa na Mashauzi Classic, Msaga Sumu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ali Kiba ‘habari nyingine’ afunika Shoo ya Mwana Dar Live

Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar Live.

Mashabiki wa Ali Kiba wakishow love.

Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakizidi kuwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.

Ali Kiba akizidi kuitawala steji la kupanda na kushuka la Dar Live.

Kwa picha na habari zaidi ya shoo hiyo ingia hapo chini

http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/ali-kiba-afunika-shoo-ya-mwana-dar-live

 

10 years ago

Michuzi

Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili  la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la  jiji kutokana na kuwa na burudani za...

 

10 years ago

Michuzi

MwanaFA kuangusha bonge la shoo nyumbani Tanga

 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn  Mworia(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati alipokuwa akizungumzia kuhusiana na shoo ya”Vodacom life is better”itakayofanywa na msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA (kushoto)siku ya ijumaa katika klabu ya La Casachika mjini Tanga.Kulia ni Meneja wa msanii huyo Lusajo Mwaisaka.Msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA (kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapo...

 

10 years ago

CloudsFM

Shetta kuangusha bonge la shoo nchini Norway

Staa wa Bongo Fleva,Shetta leo anatarajia kuangusha bonge la shoo jijini Oslo nchini Norway.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani