Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MwanaFA atembelea kituo cha watoto yatima kabla ya kuangusha bonge la shoo ya"Vodacom Life is better"Tanga

Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Diana kilichopo jijini Tanga Tatu Chamchuo Akipokea zawadi ya jezi kutoka mwanamziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo fleva Mwana FA alizozikabidhi kwa niaba ya Vodacom Tanzania,Mwanamziki huyo alitembelea kituo hicho kabla ya kufanya shoo yake ya"Vodacom Life is better" katika ukumbi wa Lacasachika mjini Tanga hapo jana. Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo fleva MwanaFA akipiga picha kwa kutumia simu yake ya mkononi pamoja na mshindi wa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MwanaFA atembelea yatima kabla ya shoo "Vodacom Life is better" Tanga

Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Diana kilichopo jijini Tanga Tatu Chamchuo akipokea zawadi ya jezi kutoka mwanamziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva Mwana FA alizozikabidhi kwa niaba ya Vodacom Tanzania, Mwanamuziki huyo alitembelea kituo hicho kabla ya kufanya shoo yake ya"Vodacom Life is better" katika ukumbi wa Lacasachika mjini Tanga hapo jana.Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva MwanaFA akipiga picha kwa kutumia simu yake ya mkononi pamoja na mshindi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MwanaFA kuangusha bonge la shoo nyumbani Tanga

 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn  Mworia(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati alipokuwa akizungumzia kuhusiana na shoo ya”Vodacom life is better”itakayofanywa na msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA (kushoto)siku ya ijumaa katika klabu ya La Casachika mjini Tanga.Kulia ni Meneja wa msanii huyo Lusajo Mwaisaka.Msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA (kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapo...

 

10 years ago

GPL

MWANA FA KUANGUSHA BONGE LA SHOO NYUMBANI TANGA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA(kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapopichani)kuhusiana na maandiliziya shoo yakeya“Vodacom life is better”atakayoifanya siku ya ijumaa kwenye klabuya La Casachika mjini Tanga, Anaeshuhudia katikati ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusianowa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia na kulia ni Meneja wa msanii huyo LusajoMwaisaka.… ...

 

10 years ago

Michuzi

ALLY KIBA KUANGUSHA BONGE YA SHOO DAR LIVE KATIKA TAMASHA LA MWANA CHINI YA VODACOM TANZANIA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na jinsi anavyojiandaa kuwapagawisha mashabiki wake katika Tamasha la Mwana Dar Live lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam siku ya Pasaka.Wengine katika picha kushoto Msanii wa nyimbo za mchiriku Sueleman Jabiri”Msaga Sumu” na Kiongozi wa kikundi cha Warriors Damian Darada(kulia). Meneja Uhusiano wa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Atembelea Kituo cha Kulelea Watoto Yatima Arusha

Mapema jana staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu aliwatembelea watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Good Hope Orphanage kilichopo maeneo ya Usa-River jijini Arusha ambapo staa huyo alitoa msaada wa chakula na vitu mbalimbali kwa watoto hao.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima alizoziweka kwenye ukurasa wake intsgaram.

Mungu akuzidishie moyo wa huruma Wema Sepetu

 

10 years ago

Michuzi

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA MALAIKA KINONDONI

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia), akiongoza wafanyakazi wenzie kutoka kampuni hiyo pamoja na watoto kutoka kituo cha watoto yatima cha Malaika wakati baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho jijini Dar es Salaam jana kuwasilisha kwa niaba ya wafanyakazi wenzao michango yao ya vitu mbalimbali kama nguo, chakula na vitabu.Mtoto Upendo (kulia) kutoka kituo cha watoto yatima cha Malaika akipokea sabuni za...

 

10 years ago

CloudsFM

Shetta kuangusha bonge la shoo nchini Norway

Staa wa Bongo Fleva,Shetta leo anatarajia kuangusha bonge la shoo jijini Oslo nchini Norway.

 

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM

Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  akiwakabidhi  msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya  ambao ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa ikiwemo mchele na Maharage.
Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  (kushoto)...

 

10 years ago

CloudsFM

Ali Kiba atua Moshi kuangusha bonge la shoo leo Club Laliga

Mkali wa Bongo Fleva,Ali Kiba leo ataangusha bonge la shoo kwenye klabu ya Laliga mjini Moshi,mkoani Kilimanjaro kwa na leo itakuwa ni mwendo wa LIVE BAND leo Moshi patakuwa hapatoshi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani