MwanaFA atembelea yatima kabla ya shoo "Vodacom Life is better" Tanga
Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Diana kilichopo jijini Tanga Tatu Chamchuo akipokea zawadi ya jezi kutoka mwanamziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva Mwana FA alizozikabidhi kwa niaba ya Vodacom Tanzania, Mwanamuziki huyo alitembelea kituo hicho kabla ya kufanya shoo yake ya"Vodacom Life is better" katika ukumbi wa Lacasachika mjini Tanga hapo jana.
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva MwanaFA akipiga picha kwa kutumia simu yake ya mkononi pamoja na mshindi wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMwanaFA atembelea kituo cha watoto yatima kabla ya kuangusha bonge la shoo ya"Vodacom Life is better"Tanga
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-O2mpuwqUkmw/VE9wJk1LiLI/AAAAAAAGtzE/LZ05lzVC4eo/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
MwanaFA kuangusha bonge la shoo nyumbani Tanga
![](http://4.bp.blogspot.com/-O2mpuwqUkmw/VE9wJk1LiLI/AAAAAAAGtzE/LZ05lzVC4eo/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5pDA5znSdKs/VE9wJp-AQoI/AAAAAAAGtzA/IA4S46mY6CE/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Kabla ya arobaini, Bobby Brown afanya shoo
![150214-news-bobby-brown](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/150214-news-bobby-brown-300x200.jpg)
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Bobby Brown, juzi alipanda jukwaani na kufanya onyesho la kwanza tangu kifo cha mtoto wake, Kristina kilichotokea Julai mwaka huu.
Kristina alizikwa Agosti 3 mwaka huu, hivyo siku 23 tu zimepita amefanya onyesho huku akiwashukuru waliohudhuria onyesho hilo.
“Nawashukuru sana kwa uwepo wenu siku ya leo, pia nawashukuru wale wote mliomuombea mwanangu wakati alipokuwa akiugua,” alieleza Brown.
Hata hivyo, wakati baba huyo akitumbuiza,...
9 years ago
Global Publishers26 Dec
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zdyFMqJvbXKc8X6ba80SAdrkQwk-HX5PAG5dNt1rMcuWkdCN6ihRpCaEQmZynQq9RTu8rvJiPwSDFsN54xQdl6w5oTa3DH0T/002.MWANAFATANGA.jpg?width=650)
MWANA FA KUANGUSHA BONGE LA SHOO NYUMBANI TANGA
10 years ago
GPLVODACOM YANOGESHA SHOO YA PASAKA COCO BEACH
11 years ago
Habarileo13 Jan
Vodacom ‘yapiga jeki’ yatima wa Bunju
MWITO umetolewa kwa wadau mbalimbali nchini kuwa tayari kujitolea kusaidia vituo vya watoto yatima, ikiwemo kuondoa uhaba wa madarasa ya kujisomea, ubovu wa vyoo na malazi.
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Vodacom yafadhili mradi yatima Mwandalimwa
KATIKA kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani kampuni ya Vodacom, imejitolea kufadhili ujenzi wa banda la kuku la kisasa lenye uwezo wa kufugia kuku 2,000 katika kituo cha kulea...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Pamoja na Vodacom kusaidia yatima mwezi wa Ramadhani
PAMOJA na Vodacom, ambayo awali ilifahamika kwa jina la Share and Care ni moja ya kampeni zinazoendeshwa na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania. Katika kuonyesha upendo, Vodacom...