Vodacom ‘yapiga jeki’ yatima wa Bunju
MWITO umetolewa kwa wadau mbalimbali nchini kuwa tayari kujitolea kusaidia vituo vya watoto yatima, ikiwemo kuondoa uhaba wa madarasa ya kujisomea, ubovu wa vyoo na malazi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Vodacom yapiga jeki wiki ya usalama barabarani
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo imetoa msaada wa shilingi milioni 40 kwa serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani katika kufanikisha wiki ya usalama barabarani mwaka huu itakayozinduliwa rasmi siku chache zijazo mkoani Arusha. Hafla ya kukabidhi hundi ya fedha hizo imefanyika leo katika wizara ya Mambo ya Ndani ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mheshimiwa Mathias...
11 years ago
Michuzi
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR


11 years ago
GPL
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR
Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari  watoto hao wa kituo hicho jana.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo...
11 years ago
BBCSwahili10 Jan
Kenya yapiga jeki kilimo
Serikali imezindua mradi wa kilimo cha unyunyiziaji maji ekari zaidi ya millioni moja katika kukabiliana na tatizo la upungufu wa chakula
11 years ago
Habarileo09 May
EU yapiga jeki sekta ya kilimo
UMOJA wa Ulaya (EU) umetoa msaada Sh bilioni 135 kwa ajili ya kuboresha sekta ya kilimo nchini pamoja na kupunguza vikwazo vya usafirishaji barabarani.
10 years ago
Michuzi
AIRTEL YAPIGA JEKI SIKU YA MAZINGIRA
ASILIMIA 61 ya ardhi nchini imeharibika kutokana uharibifu wa mazingira ya ardhi katika vyanzo vya mbalimbali na kusababisha kuzama kwa baadhi ya viziwa kutokana na mabadiliko ya tabianchi.
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira,Mhandisi Binith Mahenge wakati akitangaza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yatakayofanyika Juni 5 mwaka huu mkoani Tanga.
Mahenge amesema Juni 5 ya kila mwaka iliamuliwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1972 kuwa...
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira,Mhandisi Binith Mahenge wakati akitangaza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yatakayofanyika Juni 5 mwaka huu mkoani Tanga.
Mahenge amesema Juni 5 ya kila mwaka iliamuliwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1972 kuwa...
10 years ago
Michuzi
Benki ya Exim yapiga jeki mbio za marathon Ngorongoro


9 years ago
MichuziNSSF yapiga jeki Rock City Marathon kwa Sh 15M/-
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania