Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pamoja na Vodacom kusaidia yatima mwezi wa Ramadhani

PAMOJA na Vodacom, ambayo awali ilifahamika kwa jina la Share and Care ni moja ya kampeni zinazoendeshwa na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania. Katika kuonyesha upendo, Vodacom...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA KWAMTOGOLE-TANDALE JIJINI DAR WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHANI

  Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto) akimkabidhi Fatuma Khamis mkazi wa Kwamtogole – Tandale jijini Dar es Salaam (wa tatu toka kushoto) mfuko wa maharage ikiwa ni moja kati ya vyakula mbalimbali alivyokabidhiwa ikiwa ni msaada ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa ushirikiano na Doris Foundation. Wanaoshuhudia Grace Lyon (kulia) na Doris Mollel (wa pili toka kushoto). Baadhi ya wakazi wa Kwamtogole – Tandale...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA KWAMTOGOLE-TANDALE JIJINI DAR WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHANI‏

Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto) akiongozana na baadhi ya washirika wenza kutoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa baadhi ya wakazi wa Kwamtogole –Tandale jijini Dar es Salaam kwa ajilli ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa ushirikiano na Doris Mollel Foundation. Mkazi wa Kwamtogole...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR

Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari watoto hao wa kituo hicho jana. Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo lipokwenda kufuturisha katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa Islamic ...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR‏

Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha  Mwandaliwa Islamic kilichopo  Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari   watoto hao wa kituo hicho jana.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Sheikh alia na wanaopaisha bei mwezi wa Ramadhani


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WAFANYABIASHARA wameaswa kutotumia mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, kujinufaisha binafsi kwa kupandisha bei za vyakula sokoni.
Baadhi ya wafanyabiashara wanatuhumiwa kuugeuza mwezi wa Ramadhan kuwa, ndio wa kuchuma zaidi kibiashara kwa kupandisha bei za bidhaa, zikiwemo viazi utamu, mihogo, maharage, magimbi na tambi ambavyo hutumiwa na wengi.
Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mbeya, Juma Killa, alitoa angalizo hilo jana wakati...

 

11 years ago

Bongo5

Madee auzungumzia mwezi wa Ramadhani, ‘kikubwa ni tufanye ibada’

Muimbaji wa Tip Top Connection, Hamad Ali aka Madee amewatakia Ramadhan Kareem Waislamu wote waliobahatika kufunga pamoja na kuelezea umuhimu wa mwezi huu kwa waislam. Hamad Ali aka Madee Akizungumza na Bongo5 leo, Madee ambaye kwa mwezi huu amesema anapenda atambulike zaidi kwa jina la Hamad Ali, amewataka waislam wote kufunga Ramadhani na wajiepushe na […]

 

11 years ago

Michuzi

DKT SHEIN ATOA salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa   Wananchi  wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla. Pia aliwatakia mfungo mwema  wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali. Picha na Ramadhan Othman,  Ikulu

 

11 years ago

CloudsFM

BEI ZA VYAKULA JIJINI DAR ZAPANDA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamelalamikia bei kubwa za vyakula katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye badhi ya masoko jijini humo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa jiji hilo Bw. Khamis Mshaka na Bi. Salma Jumbe, walisema baadhi ya wafanyabiashara wanapandisha bei ya vyakula ili kupata faida.

Walisema hali hiyo inawafanya wananchi wengi hasa wenye kipato kidogo washindwe kumudu bei za vyakula wanapokwenda sokoni.

“Tabia hii si nzuri na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani