Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheikh Yusuf ABDI - DUA YAKO KATIKA MWEZI WA RAMADHANI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Sheikh alia na wanaopaisha bei mwezi wa Ramadhani


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WAFANYABIASHARA wameaswa kutotumia mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, kujinufaisha binafsi kwa kupandisha bei za vyakula sokoni.
Baadhi ya wafanyabiashara wanatuhumiwa kuugeuza mwezi wa Ramadhan kuwa, ndio wa kuchuma zaidi kibiashara kwa kupandisha bei za bidhaa, zikiwemo viazi utamu, mihogo, maharage, magimbi na tambi ambavyo hutumiwa na wengi.
Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mbeya, Juma Killa, alitoa angalizo hilo jana wakati...

 

10 years ago

Michuzi

BIMA YA RESOLUTION YAFUTURISHA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

 Picha ya baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kufutari katika ukumbi wa hoteli Serena, futari iliyoandaliwa na Bima ya Resolution. Baadhi wa waumini wa dini ya kiislam wakimsikiliza mgeni rasmi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam .  Meneja Mkuu wa Bima ya Resolution, Oscar Osir, na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa Salim wakiwaongoza wa umini wa Dini ya kiislamu katika mwezi Mtukuru wa Ramadhani kuchukua futari iliyoandaliwa na Bima ya...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

· 
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pamoja na Vodacom kusaidia yatima mwezi wa Ramadhani

PAMOJA na Vodacom, ambayo awali ilifahamika kwa jina la Share and Care ni moja ya kampeni zinazoendeshwa na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania. Katika kuonyesha upendo, Vodacom...

 

11 years ago

Bongo5

Madee auzungumzia mwezi wa Ramadhani, ‘kikubwa ni tufanye ibada’

Muimbaji wa Tip Top Connection, Hamad Ali aka Madee amewatakia Ramadhan Kareem Waislamu wote waliobahatika kufunga pamoja na kuelezea umuhimu wa mwezi huu kwa waislam. Hamad Ali aka Madee Akizungumza na Bongo5 leo, Madee ambaye kwa mwezi huu amesema anapenda atambulike zaidi kwa jina la Hamad Ali, amewataka waislam wote kufunga Ramadhani na wajiepushe na […]

 

11 years ago

Michuzi

DKT SHEIN ATOA salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa   Wananchi  wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla. Pia aliwatakia mfungo mwema  wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali. Picha na Ramadhan Othman,  Ikulu

 

11 years ago

CloudsFM

BEI ZA VYAKULA JIJINI DAR ZAPANDA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamelalamikia bei kubwa za vyakula katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye badhi ya masoko jijini humo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa jiji hilo Bw. Khamis Mshaka na Bi. Salma Jumbe, walisema baadhi ya wafanyabiashara wanapandisha bei ya vyakula ili kupata faida.

Walisema hali hiyo inawafanya wananchi wengi hasa wenye kipato kidogo washindwe kumudu bei za vyakula wanapokwenda sokoni.

“Tabia hii si nzuri na...

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA BARAZA LA ULAMAA BAKWATA TAIFA JUU YA MWENENDO WA CORONA (COVID 19) NA UTEKELEZAJI WA IBADA HUSUSAN MWEZI WA RAMADHANI



Wakati tukikaribia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa limefanya vikao kadhaa kupitia, kutafakari na kuzingatia mwenendo wa COVID 19 nchini Tanzania na hali ya utekelezaji wa Ibada za Swala za Jamaa, Ijumaa na Tarawehe hususan wingi wa watu wanaojitokeza Misikitini katika mwezi wa Ramadhani.

Baada ya tafakari iliyozingatia ushauri wa kitaalamu na miongozo ya kiafya katika kujikinga na kudhibiti ugonjwa wa Corona (COVID 19); pia baada ya kuzingatia kuwa funga ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani