Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge: Jengo la ghorofa 16 Dar livunjwe

BUNGE limesisitiza kuwa jengo la ghorofa 16 lililoko katika Mtaa wa Indira Gandhi, Dar es Salaam ambalo liliagiza mwaka jana livunjwe, agizo hilo litekelezwe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JENGO LA GHOROFA 16 KUBOMOLEWA JIJINI DAR.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.JENGO la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam linatarajiwa kubomolewa kwa kuwa linadaiwa kujengwa chini ya kuiwango.


 Amri hiyo imetolewa na  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Uwepo wa jingo hilo ambalo limejengwa chini ya kiwango limezua hofu kubwa kwa wakazi wa eneo hilo,kwani jingo hilo lipo karibu na jingo jingine lililokuwa na ghorofa 16 ambalo lilianguka...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: wawili wahukumiwa faini shilingi milioni 15 ama jela miaka 15 kwa ujenzi wa jengo la ghorofa 18 jijini dar es salaam

Watu  wawili wamehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni 15 au kwenda jela miaka miaka 15 baada ya kupatikana na hatia ya makosa matano ya ujenzi wa jengo la ghorofa 18 lililojengwa jirani na Ikulu lililopo mtaa wa Chimala Kitalu cha 45 na 46, kinyume cha sheria. 
 Washtakiwa hao ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na aliyekuwa Msanifu Mkuu wake Richard Maliyaga (55) wote wakazi wa jijini Dar es Salaam. 
 Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Sundi...

 

11 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11 wasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16,jijini dar

MKURUGENZI wa Mashitaka Nchini (DPP), amemfutia mashitaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime (61) na kisha kumuunganisha na wenzake 11 na kuwasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika mtaa wa Indira Gandh, yaliyotokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16.
Mbali na Fuime washtakiwa wengine ni, Diwani wa Kata ya Goba, Ibrahim Mohamed maarufu kama Kisoki, Raza Ladha, Goodluck Mbanga, Willbroad Mugyabuso,Mohamed Abdulkarim, Charles Ogare, Zonazea Oushoudada, Vedasto Ruhale,...

 

11 years ago

Mwananchi

ALAT: Bunge la Katiba livunjwe

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serika za Mitaa, ALAT, Dk Didas Masaburi amesema kuna kila sababu ya Bunge Maalumu la Katiba kusitisha vikao vyake na kurejea upya kwa wananchi kupata maoni mapya kuhusu muundo wa Serikali wanayotaka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asasi zataka Bunge livunjwe

IMEELEZWA kuwa hakuna sababu ya kuendelea na Bunge Maalumu la Katiba, kama rasimu ya pili iliyopelekwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba inadhihakiwa na kudharauliwa....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makaidi apendekeza Bunge livunjwe

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Dk. Emmanuel Makaidi, amependekeza kuvunjwa kwa Bunge hilo kwa madai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinavuruga bunge hilo kutokana na kujipendelea. Akizungumza na waandishi...

 

11 years ago

Mwananchi

NCCR yataka Bunge la Katiba livunjwe

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, Leticia Mosore ameitaka Serikali kuvunja Bunge Maalumu la Katiba kwa sababu Rais Jakaya Kikwete ametumia mamlaka yake kulielekeza Bunge hilo kufanya alivyopanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge livunjwe tukawaombe radhi wananchi- Mjumbe

Mivutano katika Bunge la Katiba imemchukiza mmoja wa wajumbe wa chombo hicho, Michael Laizer ambaye amemshauri mwenyekiti wake, Samuel Sitta amwombe Rais kuvunja Bunge.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Bunge la Katiba livunjwe, Kikwete amemaliza kazi’

>Siasa ni kama mchezo ambao kanuni zake zinaweza kuitofautisha na soka; mchezo ambao hauhitaji waamuzi watatu uwanjani ili uchezeshwa kwa haki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani