Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majengo ya ghorofa yatishia maisha Dar


NA MWANDISHI WETU
WAMILIKI wa baadhi ya majengo wamekiuka amri iliyotolewa na serikali ya kuzuia matumizi ya majengo ambayo bado yanaendelea na ujenzi, jambo linalohatarisha maisha ya watu.
Hali hiyo imeonekana katika mitaa mbalimbali ya katikati ya jiji la Dar es Salaam, ambapo maghorofa mengi ambayo ujenzi wake haujakamilika, yanatumika kwa kufunguliwa ofisi na maduka huku ujenzi ukiendelea.
Machi 11 mwaka 2010, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi,...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF Towers mtaa wa Sokoine Jijini Dar

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam jana Septemba 16, 2015  Mrisho Mpoto na Mjomba Band wakitumbuiza kwenye sherehe za majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam jana Septemba 16, 2015  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

JK azindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo


 Rais Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi majengo majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015 Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mfano wa kadi yake baada ya kujiunga mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA MAJENGO PACHA YA GHOROFA 35 YA PSPF TOWERS MTAA WA SOKOINE JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015 Mrisho Mpoto na Mjomba Band wakitumbuiza kwenye sherehe za majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge: Jengo la ghorofa 16 Dar livunjwe

BUNGE limesisitiza kuwa jengo la ghorofa 16 lililoko katika Mtaa wa Indira Gandhi, Dar es Salaam ambalo liliagiza mwaka jana livunjwe, agizo hilo litekelezwe.

 

10 years ago

Michuzi

JENGO LA GHOROFA 16 KUBOMOLEWA JIJINI DAR.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.JENGO la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam linatarajiwa kubomolewa kwa kuwa linadaiwa kujengwa chini ya kuiwango.


 Amri hiyo imetolewa na  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Uwepo wa jingo hilo ambalo limejengwa chini ya kiwango limezua hofu kubwa kwa wakazi wa eneo hilo,kwani jingo hilo lipo karibu na jingo jingine lililokuwa na ghorofa 16 ambalo lilianguka...

 

10 years ago

GPL

UBOMOAJI WA GHOROFA ‘BOVU’ DAR WAKWAMA

Ghorofa la Indira Gandhi jijini Dar es Salaam ambalo linadaiwa kujengwa chini ya kiwango na ambalo lilikuwa libomolewe leo. GHOROFA ambalo lilikuwa libomolewe leo jijini Dar es Salaam kutokana na kudaiwa kuwa limejengwa chini ya kiwango bado limeendelea kuwepo, kuonyesha kwamba zoezi hilo limekwama. Ghorofa hilo lililopo Mtaa wa Indira  Ghandi lilikuwa libomolewe leo kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said ...

 

11 years ago

Mwananchi

CCBRT yakabidhi majengo ya upasuaji jijini Dar

>Shirika lisilo la Kiserikali linalotoa huduma za utangamano (CCBRT), limekabidhi  majengo ya upasuaji na chumba cha kujifungulia katika Hospitali ya Vijibweni  jijini Dar es Salaam, ambayo yalikuwa yakifanyiwa ukarabati mkubwa uliogharimu kiasi cha Sh200milioni.

 

11 years ago

Mwananchi

Majengo ya asili na ya kihistoria yanavyotoweka Dar es Salaam

Nimebaini hapa kwetu Tanzania, kila anayetaka kujenga jengo liwe dogo ama kubwa, anatumia miundo ya ujenzi inayotumika nje.

 

11 years ago

Michuzi

news alert: wawili wahukumiwa faini shilingi milioni 15 ama jela miaka 15 kwa ujenzi wa jengo la ghorofa 18 jijini dar es salaam

Watu  wawili wamehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni 15 au kwenda jela miaka miaka 15 baada ya kupatikana na hatia ya makosa matano ya ujenzi wa jengo la ghorofa 18 lililojengwa jirani na Ikulu lililopo mtaa wa Chimala Kitalu cha 45 na 46, kinyume cha sheria. 
 Washtakiwa hao ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na aliyekuwa Msanifu Mkuu wake Richard Maliyaga (55) wote wakazi wa jijini Dar es Salaam. 
 Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Sundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani