Angelina Jolie na Brad Pitt wauza picha zao za harusi kwa shilingi bilioni 3.3
Kanye West na Kim Kardashian walikataa kuuza picha zao za harusi lakini si kwa Angelina Jolie na Brad Pitt. Mastaa hao ambao kwa pamoja hujulikana kama Brangelina wameuza picha zao za harusi kwa dola milioni 2, ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 3.3 za Tanzania. Kiasi hicho cha fedha kimepatikana baada ya kulipwa na majarida […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Aug
Brad Pitt na Angelina Jolie waoana
10 years ago
Bongo528 Sep
Angelina Jolie na Brad Pitt kuasili mtoto wa 7 kutoka Syria
9 years ago
Bongo509 Nov
Angelina Jolie: Mimi na Brad Pitt tuna matatizo kama wanandoa wengine

Mastaa nao wapo kama sisi tu.
Angelina Jolie alizungumzia maisha na mume wake Brad Pitt Jumapili ya Nov. 8, na kuweka wazi kuwa mastaa hao nao wana wakati wa shida na raha kama watu wengine kwenye uhusiano.
“Mimi na Brad tuna matatizo kama wanandoa wengine wowote,” Jolie, 40, aliliambia gazeti la The Telegraph wakati akipromote filamu yake mpya, By the Sea. “Tuna siku ambazo hujikasirisha vibaya sana lakini matatizo kwenye filamu hii sio yetu wenyewe.”
Filamu hiyo iliyoongozwa na Jolie...
11 years ago
BBCSwahili29 May
Brad Pitt ashambuliwa Los Angeles
11 years ago
Bongo503 Aug
Picha: Kwa gari jipya na zawadi ya shilingi milioni 250, harusi ya Pastor Myamba ni funika bovu!
11 years ago
BBCSwahili14 Jun
Malkia amtunza Angelina Jolie
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Angelina Jolie akatwa nyumba ya uzazi
5 years ago
The Guardian02 Apr
Tiger King's Joe Exotic suggests Brad Pitt or David Spade should play him on screen