Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Una Kipaji cha Kuigiza?! Kampuni ya Eagles Inakuhitaji

Kampuni ya Eagles Entertainment inayojishughulisha na utengenezaji wa muziki na filamu ipo katika mikakati ya kufanya usaili kwa ajili ya maandalizi ya kurekodi tamthilia kali na ya kipekee hapa Bongo, mkurugenzi wa kampuni hiyo Yuster Nyakachara anafafanua.

Tutakuwa na zoezi la kutafuta wasanii wenye vipaji kwa ajili ya tamthilia yetu ambayo ni ya kipekee kabisa kutengenezwa na ratiba yetu ni kuanza kushuti mwezi wa saba,”anasema Mghesi.

Kampuni inatarajia kuanza kufanya usaili mapema...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Una kipaji cha kuimba? Airtel Trace Music Stars inaweza kubadilisha maisha yako!

Kuna vipaji vingi vya muziki hapa nchini ambavyo kutokana na sababu mbalimbali, vimeshindwa kuonekana. Kikwazo kikubwa ni gharama za kuingia studio na kurekodi wimbo wenye kiwango kizuri cha kuchezwa redioni. Hata kwa wale waliofanikiwa kurekodi nyimbo zao, bado wanakutana na vikwazo vingi pale wanapopeleka nyimbo zao kwenye vituo vya redio. Kutokana na kuwepo wingi wa […]

 

9 years ago

Bongo5

Una kipaji cha kuimba? Unaweza kushinda zawadi kibao kutoka #TecnoOwnTheStage kwa kufanya hivi

12356592_764354003692580_994120953_n

Je una kipaji cha kuimba? Unahisi unaweza kuwafunika washiriki wa shindano la Tecno Own The Stage?

Basi una nafasi ya kushinda zawadi kibao kutoka Tecno.

Unachotakiwa kufanya ni kuupload video ya sekunde 15 ya wimbo alioimba mshiriki yeyote na kuipost kwenye ukurasa wa Facebook wa TECNO Own The Stage.

Video yako ikipata likes nyingi utashinda zawadi kila wiki.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

9 years ago

Bongo5

Una kipaji au uwezo wa kuandika mashairi? Badilisha Poetry X-Change ipo njiani kuja Tanzania

Taasisi ya Africa Centre imekuja na shavu jingine kwa waandishi wa mashairi au malenga kuonesha uwezo wao. Kupitia mradi huo uitwao, Badilisha Poetry X-Change, waandishi wanaweza kuwasilisha mashairi yao kwa maneno au katika mfumo wa sauti kwa kuingia kwenye link hii. Badilisha Poetry X-Change ni maktaba kubwa ya mtandaoni ya maishairi ya kiafrika duniani kote. […]

 

10 years ago

Bongo5

Ne-Yo akikubali kipaji cha uchoraji cha Mtanzania huyu, aipost picha yake kwenye Instagram

Chrissy Renny ni kijana mwenye kipaji kisicho cha kawaida – anachora picha kwa kutumia kalamu ya wino ambayo ukiilinganisha na picha original, unaweza kudhani aliyochora ni photocopy. Picha ya Ne-Yo iliyochorwa kwa mkono kutumia kalamu ya wino Cha kufurahisha zaidi, Chrissy ni Mtanzania na sasa jina lake limefika Marekani – thanks kwa shavu alilopewa na […]

 

10 years ago

CloudsFM

SHAMSA FORD:FILAMU YA ‘I HATE MY WIFE’ ILIKUWA NI NGUMU SANA KWANGU KUIGIZA,KWA SABABU YA KUIGIZA KICHAWI.

Msanii wa filamu za Kibongo,Shemsa Ford amefunguka kati ya filamu iliyompa wakati mgumu wakiwa ‘’location’ ni filamu ya I hate my wife kwani aliigiza kama mke mchawi anayemroga mumewe.’Yaani kati ya filamu iliyonipa wakati mgumu kuigiza ni wakati naigiza filamu ya I hate my wife kutokana na kuigiza kama mchawi mshabiki walijua kuwa ndiyo tabia yangu lakini pia kuvaa uhusika wa kiuchawi ni ngumu sana’’alisema Shemsa Ford.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

BBCSwahili

Yatima asiyesoma na kipaji cha Hesabu

Sikiliza ripoti ya Leonard mubali kuhusiana na msichana Anna Jackson kutoka Mtwara kusini mwa Tanzania mwenye kipaji cha hesabu.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mtoto mwenye kipaji cha ajabu ndani ya Dar

MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kwa jina la ‘King Nahh’ yupo jijini Dar es Salaam.

King Nahh yuko jijini akiwa ameambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson. Familia ya motto huyo ipo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.

Mtoto huyo amealikwa nchini kwa madhumuni ya kuungana au kukutana na watoto wenzake kuamsha hisia za  za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani