Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yatima asiyesoma na kipaji cha Hesabu

Sikiliza ripoti ya Leonard mubali kuhusiana na msichana Anna Jackson kutoka Mtwara kusini mwa Tanzania mwenye kipaji cha hesabu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Ne-Yo akikubali kipaji cha uchoraji cha Mtanzania huyu, aipost picha yake kwenye Instagram

Chrissy Renny ni kijana mwenye kipaji kisicho cha kawaida – anachora picha kwa kutumia kalamu ya wino ambayo ukiilinganisha na picha original, unaweza kudhani aliyochora ni photocopy. Picha ya Ne-Yo iliyochorwa kwa mkono kutumia kalamu ya wino Cha kufurahisha zaidi, Chrissy ni Mtanzania na sasa jina lake limefika Marekani – thanks kwa shavu alilopewa na […]

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) YABAINI MAPUNGUFU MAKUBWA UJENZI WA CHUO CHA UALIMU CHA AYALABEE WILAYANI KARATU


Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu,Lazaro Titus akiongozana na Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa kwenda kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.Mwenyekiti akikagua jengo la Chuo cha Ualimu cha Ayalabee ambacho kinatajwa majengo yake kujengwa chini ya kiwango.Hili ndio jengo la Chuo cha Ualimu cha Ayalabee kama linavyoonekana sehemu ya Paa lake likiwa tayari limebinyea.Baadhi ya wananchi walipata fursa ya kutoa madukuduku yao kwa kamati juu ya...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mtoto mwenye kipaji cha ajabu ndani ya Dar

MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kwa jina la ‘King Nahh’ yupo jijini Dar es Salaam.

King Nahh yuko jijini akiwa ameambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson. Familia ya motto huyo ipo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.

Mtoto huyo amealikwa nchini kwa madhumuni ya kuungana au kukutana na watoto wenzake kuamsha hisia za  za...

 

10 years ago

GPL

AZZY MLEMAVU MWENYE KIPAJI CHA HALI YA JUU

Msanii wa Hip Hop, Ahazi Eliya a.k.a Azzy akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Azzy akiwa katika pozi kabla ya mahojiano na Global TV Online. Azzy akielezea historia yake ndani ya Global TV Online.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Una Kipaji cha Kuigiza?! Kampuni ya Eagles Inakuhitaji

Kampuni ya Eagles Entertainment inayojishughulisha na utengenezaji wa muziki na filamu ipo katika mikakati ya kufanya usaili kwa ajili ya maandalizi ya kurekodi tamthilia kali na ya kipekee hapa Bongo, mkurugenzi wa kampuni hiyo Yuster Nyakachara anafafanua.

Tutakuwa na zoezi la kutafuta wasanii wenye vipaji kwa ajili ya tamthilia yetu ambayo ni ya kipekee kabisa kutengenezwa na ratiba yetu ni kuanza kushuti mwezi wa saba,”anasema Mghesi.

Kampuni inatarajia kuanza kufanya usaili mapema...

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA AMANI ORPHANAGE CENTER CHA POKEA ZAWADI NA MSAADA WA MAANDALIZI YA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF.

Kushoto ni Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka  akiwa na Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani wakiwakabidhi zawadi ya Mbuzi  kwa ajilli ya Krismasi watoto wa kituo cha kulelea yatima cha Amani Orphanage Centre tarehe 5.12.2014 Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani akimkabidhi zawadi ya vinywaji mmoja wa watoto katika kituo hicho Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka akimkabidhi mmoja wa watoto msaada wa mafuta ya kupikia kwa niaba ya watoto wenzake walipo watembelea katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani