CCM yahofu uchaguzi mkuu 2015 kuvurugika
Na Suleiman Jongo, ChalinzeNape NnauyeCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kuna uwekezano wa Uchaguzi Mkuu wa mwakani kuvurugika kutokana na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kulazimisha matumizi ya mfumo mpya wa Biometric Voter Registration (BVR).
Kimesema mfumo huo utaigharimu serikali mabilioni ya shilingi na kwamba, unaweza usitoe mafanikio yenye tija kama inavyotarajiwa kwa kuwa tayari umetoa matokeo mabaya kwenye baadhi ya nchi zilizoanza kuutumia.
Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi,...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).
10 years ago
Mwananchi04 May
UCHAGUZI CCM 2015: Mizengo Pinda Waziri Mkuu
10 years ago
Mwananchi03 May
UCHAGUZI CCM 2015: Agustino Ramadhani Jaji Mkuu mstaafu
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Kumekucha Uchaguzi Mkuu 2015, Lowassa atikisa CCM, upinzani
9 years ago
VijimamboHIZI NDIZO AHADI ZA CCM UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015
Hatimaye Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeipua Ilani yake ya Uchaguzi kwa mwaka 2015-2020, ikitaja mambo makuu manne ya kushughulkikia katika miaka mitano ijayo, ambayo ni kupambana na umaskini, ajira kwa vijana, ulinzi na usalama na kupambana na rushwa kwa kuanzisha mahakama maalumu ya makosa hayo.
Ilani hiyo, iliyoandaliwa na makada wake 32 wakiongozwa na Stephen Wasira, imeanisha jinsi chama hicho kikongwe kilivyotekeleza baadhi ya ahadi zake katika ilani ya mwaka 2010-2015 na kutaja ahadi...
10 years ago
Dewji Blog18 Jan
KINANA aahidi CCM kushinda kwa kishindo uchaguzi mkuu Zanzibar 2015
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar jana wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi ili zipatiwe ufumbuzi. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Kinana akikagua jengo jipya la Chuo cha...
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Waliosababisha uchaguzi kuvurugika wawajibishwe
9 years ago
Vijimambo28 Sep
COMRADE MWIGULU NCHEMBA SASA AINGIA MANYARA,WANANCHI WAFURIKA KUIUNGA MKONO CCM UCHAGUZI MKUU 2015
![](https://scontent-mrs1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xaf1/v/t1.0-9/12043106_430199550515612_2776231540165560381_n.jpg?oh=8af372d05f66de2b05cd3408696594ff&oe=56A26AFE)
![](https://scontent-mrs1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/12039614_889236764463482_8155304396541486319_n.jpg?oh=0a223245c9e52dfa638cec812350dd84&oe=56A881D7)
![](https://scontent-mrs1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/11049607_430199623848938_2305083269899712315_n.jpg?oh=42259c196beed29722404ebb62f9e2d0&oe=568F62A3)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar15 Sep
Live, Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015, CCM — Gombani Chake Chake, Pemba.
Sikiliza mkutano huu moja kwa moja kupitia channel hii http://mixlr.com/muumbela
The post Live, Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015, CCM – Gombani Chake Chake, Pemba. appeared first on Mzalendo.net.