Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliosababisha uchaguzi kuvurugika wawajibishwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi nchi nzima ulikumbwa na kasoro nyingi ambazo wananchi wengi wanasema zilitokana na uzembe au hujuma kwa upande wa maofisa walioteuliwa kuuratibu na kuusimamia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KINANA AWATAKA WALIOSABABISHA HASARA KUFUNGWA KIWANDA CHA CHAI MPONDE, BUMBURI WAWAJIBISHWE HARAKA‏

 Katibu Mkuu wa CCM, akiwapungia wananchi mikono alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Mponde, Jimbo la Bunburi, ambapo aliwahakikishia wananchi kulitafutia ufumbuzi tatizo la kufungwa kwa kiwanda cha chai cha Mponde wilayani Lushoto,Mkoani Tanga. Kinana aliwataka viongozi wote wa CCM na Serikali waliohusika kufungwa kwa kiwanda hicho na kuwasababishia adha wananchi kuwajibika wenyewe au kuwajibishwa.…
...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM yahofu uchaguzi mkuu 2015 kuvurugika

Na Suleiman Jongo, Chalinze
Nape NnauyeCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kuna uwekezano wa Uchaguzi Mkuu wa mwakani kuvurugika kutokana na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kulazimisha matumizi ya mfumo mpya wa Biometric Voter Registration (BVR).
Kimesema mfumo huo utaigharimu serikali mabilioni ya shilingi na kwamba, unaweza usitoe mafanikio yenye tija kama inavyotarajiwa kwa kuwa tayari umetoa matokeo mabaya kwenye baadhi ya nchi zilizoanza kuutumia.
Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi,...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. HAWA GHASIA ASEMA HAJIUZULU NG'O KUFUATIA KASHFA YA KUVURUGIKA KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA


Waziri wanchi ofisi ya waziri mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema leo Jumatano Desemba 17, 2014, kuwa hatajiuzulu ng’o kutoka wadhifa wake, kufuatia kashfa ya kuvurugika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye baadhi ya maeneo hapa nchini Jumapili iliyopita. Badala yake, waziri Ghasia amesema wakurugenzi watano wamefutwa kazi, huku wenghine kadhaa wamesimamishwa na wengine kushushwa vyeo. Waziri Ghasia, akitoka kwenye cnhumba cha mkutano na waandishi wa habafri mara baada ya kuzungumza...

 

11 years ago

GPL

KUVURUGIKA KWA MZUNGUKO WA HEDHI

Mzunguko wa hedhi umegawanyika katika maeneo makuu mawili. Kuna ule unaopevusha mayai ‘Ovulatory Cycle’ na usiopevusha mayai ‘Anovulatory Cycle’. Aina hizi za mizunguko tutakuja kuziona kwa undani katika makala zijazo, lakini mzunguko unaopevusha mayai mwanamke anapata ute wa uzazi ambao unavutika na anaweza kupata ujauzito. Mzunguko usiopevusha mayai mwanamke hawezi kupata ujauzito ingawa katika ...

 

11 years ago

Habarileo

RC- Waliosababisha hasara bil. 4/- wakamatwe

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, ameishauri Serikali Kuu ishughulikie wataalamu waliosababisha hasara ya Sh bilioni nne, kwa kuelekeza uchimbaji wa visima nane vyenye maji yasiyofaa kwa matumizi ya binadamu.

 

10 years ago

Mwananchi

Askari waliosababisha kifo Serengeti kubanwa

>Polisi mkoani Mara imesema itawachukulia hatua askari watakaobainika kuhusu katika kifo cha Samson Nyakiha (70) baada ya uongozi wa jeshi hilo kukutana na ndugu wa marehemu waliotelekeza maiti katika Kituo cha Polisi cha Wilaya.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA WATU WAWAJIBISHWE NCHINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Nachingwea na Waziri wa Mambo ya Ndani Ndugu Mathias Chikawe (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nachingwea Ndugu Albert Mnari kuelekea kwenye shamba la ushirika Mkotokuyana  wilaya ya Lindi Vijijini tayari kwa kushiriki shughuli za kilimo. Kikundi cha Wakulima cha Umoja Rika wakiinua majembe juu kama ishara ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyefika kwenye shamba...

 

9 years ago

Mwananchi

Waliofumbia, kuidhinisha ujenzi holela wawajibishwe

Baada ya onyo la muda mrefu, hatimaye wiki hii Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na halmashauri za manispaa za Kinondoni na Temeke, zimeanza kazi ya ubomoaji nyumba zote zilizojengwa, bila kufuata utaratibu, kwenye maeneo ya wazi na hifadhi za barabara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawaziri sawa, tunataka wengine wawajibishwe

JUZI mawaziri wanne walivuliwa nyadhifa zao kwa tuhuma za kushindwa kusimamia kikamilifu wizara zao zilizoendesha Operesheni Tokomeza Ujangili, ambayo iligubikwa na ukiukwaji wa haki za binadamu. Mawaziri walioondolewa madarakani na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani