RC- Waliosababisha hasara bil. 4/- wakamatwe
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, ameishauri Serikali Kuu ishughulikie wataalamu waliosababisha hasara ya Sh bilioni nne, kwa kuelekeza uchimbaji wa visima nane vyenye maji yasiyofaa kwa matumizi ya binadamu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKINANA AWATAKA WALIOSABABISHA HASARA KUFUNGWA KIWANDA CHA CHAI MPONDE, BUMBURI WAWAJIBISHWE HARAKA
11 years ago
Habarileo23 May
Waromania kizimbani hasara ya bil. 2/-
RAIA wawili wa Romania wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kuingilia miundombinu ya mawasiliano na kusababisha hasara ya Sh bilioni 2.1 kwa Serikali na Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA).
11 years ago
Habarileo27 Mar
Mkenya kortini hasara ya bil 6.8/-
RAIA wa Kenya Nelson Onyango (43) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya kutoa huduma ya mawasiliano ya simu za kimataifa bila kibali na kusababisha hasara ya Sh bilioni 6.8.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Kizimbani kuisababishia hasara NMB bil. 1/-
WATU wa tatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shitaka la kuisababishia National Microfinance Bank (NMB), hasara ya zaidi ya sh bilioni moja. Wakisomewa shitaka hilo...
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Precision Air yapata hasara Sh 12.1 bil
10 years ago
Mtanzania23 Mar
Serikali yapata hasara bil 4/- ununuzi bandia
Na Debora Sanja, Dodoma
SERIKALI imesema imepata hasara ya zaidi ya Sh bilioni nane kutokana na risiti za ununuzi bandia.
Kauli hiyo ilitolewa Dodoma jana na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum alipozungumza katika majumuisho ya semina kwa wabunge kuhusu Mfumo wa Malipo nchini.
Mkuya alisema kutokana na mfumo wa kutumia malipo hayo mtu huwasilisha risiti za orodha ya malipo mengi ambayo kwa uhalisia hayapo.
“Ukichukua ile risiti ukienda dukani unakuta hakuna risiti kama hiyo ingawa inakuwapo...
9 years ago
StarTV24 Dec
Tanzania yapata hasara ya zaidi ya bil. 230 kwa mwakaÂ
Wakulima na wadau wa kilimo cha mazao yanayotumika kuzalisha mafuta ya kupikia, wamelalamikia uingizwaji wa mafuta hayo kutoka nje ya nchi unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara hatua inayochangia kupungua kwa soko la mafuta yanayozalishwa nchini.
Takribani asilimia 50 ya mafuta yanayotumika nchini yanatoka nje ya nchi ambapo mafuta yanayozalishwa nchini yanatajwa kutosheleza mahitaji ya soko la ndani ikiwa ni pamoja na ziada inayoweza kuuzwa nje ya nchi.
Wafanyabishara wa mazao ya mafuta...
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Waliosababisha uchaguzi kuvurugika wawajibishwe
10 years ago
Mwananchi11 Jan
Askari waliosababisha kifo Serengeti kubanwa