Waliofumbia, kuidhinisha ujenzi holela wawajibishwe
Baada ya onyo la muda mrefu, hatimaye wiki hii Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na halmashauri za manispaa za Kinondoni na Temeke, zimeanza kazi ya ubomoaji nyumba zote zilizojengwa, bila kufuata utaratibu, kwenye maeneo ya wazi na hifadhi za barabara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 May
Rais akemea ujenzi holela Zanzibar
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein amezitaka mamlaka husika kuhakikisha wananchi waliovamia eneo la bwawa la Mwanakwerekwe wanaondolewa mara moja ili kuepuka athari zaidi za kimazingira.
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Ujenzi holela unachangia kudorora uchumi
11 years ago
GPLMANISPAA YA IRINGA YALIA NA UJENZI HOLELA
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Ujenzi holela unavyoliweka Jiji la Dar es Salaam hatarini
5 years ago
MichuziUMEME MDOGO KWA BAADHI YA MAENEO YA MJI WA ZANZIBAR,CHANZO NI ONGEZEKO LA WATUMIAJI NA UJENZI HOLELA
9 years ago
MichuziWATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA, WANAOFANYA BIASHARA MAENEO YA DART
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Marekani kuidhinisha 'viagra ya wanawake'
11 years ago
BBCSwahili17 Jan
Museveni akataa kuidhinisha mswada tata
10 years ago
Habarileo13 May
Anusurika kuuawa kwa kukataa kuidhinisha fedha
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Endiamtu mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, amenusurika kufa kwa kushambuliwa kwa kupigwa ngumi na Mwenyekiti wake baada ya kutoidhinisha matumizi ya Sh milioni moja.