Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MANISPAA YA IRINGA YALIA NA UJENZI HOLELA

Meya wa Manispaa ya Iringa Aman Mwamwindi akizungumza na wanahabari  leo kuhusu  mambo mbali mbali yanayoendelea. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa, Aman Mwamwindi akizungumza na wanahabari  ofisini  kwake. …

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUSAFISHA SOKO KUU LA MANISPAA YA IRINGA.

 Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania tawi la Iringa wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Meya wa manispaa hiyo Bw. Amani Mwamwindi (wa pili kulia) wakati wafanyakazi hao walipojitokeza kufanya usafi kwenye soko kuu la manispaa ya Iringa mwishoni mwa juma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Hatua hiyo ni sehemu ya kampeni ya benki hiyo ijulikanayo kama ‘Go Green Initiative’ iliyojikita zaidi kwenye utunzaji wa mazingira. Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim...

 

9 years ago

Mwananchi

Waliofumbia, kuidhinisha ujenzi holela wawajibishwe

Baada ya onyo la muda mrefu, hatimaye wiki hii Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na halmashauri za manispaa za Kinondoni na Temeke, zimeanza kazi ya ubomoaji nyumba zote zilizojengwa, bila kufuata utaratibu, kwenye maeneo ya wazi na hifadhi za barabara.

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi holela unachangia kudorora uchumi

Kwa miaka ya hivi karibuni suala la ujenzi holela wa makazi limezidi kuongezeka katika maeneo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Rais akemea ujenzi holela Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Ali Shein.RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein amezitaka mamlaka husika kuhakikisha wananchi waliovamia eneo la bwawa la Mwanakwerekwe wanaondolewa mara moja ili kuepuka athari zaidi za kimazingira.

 

10 years ago

Vijimambo

MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SLAA ASIMAMISHA UJENZI WA MAJENGO KWA KUKIUKA MICHORO YA UJENZI

Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa(kushoto) na Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa hiyo Themi Luther(kulia) wakipitia michoro ya usanifu ya majengo kwenye makutano ya mitaa ya Aggrey na Indragadhi ambapo ujenzi huo haujafuata michoro, Alipotembelea na kupima uzio wa mabati unaowekwa na wakandarasi wengi bila kulipiwa vibali, Katika ukaguzi huo majengo mengi yamekiuka michoro ya ujenzi na amesimamisha ujenzi huo mara moja hapo jana.Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa ya Ilala...

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi holela unavyoliweka Jiji la Dar es Salaam hatarini

Miaka ya karibuni Jiji la Dar es Salaam limeshuhudia kuporomoka kwa maghorofa matano katika maeneo tofauti likiwamo tukio la mwaka 2013, ambapo ghorofa lililokuwa Mtaa wa Indira Ghandi lilianguka na kupoteza maisha ya watu wapatao 34.

 

10 years ago

Michuzi

MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SLAA ASIMAMISHA UJENZI WA MAJENGO YALIYOPO MAKUTANO YA AGGREY & INDRAGADHI KWA KUKIUKA MICHORO YA UJENZI

Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa(kushoto) na Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa hiyo Themi Luther(kulia) wakipitia michoro ya usanifu ya majengo kwenye makutano ya mitaa ya Aggrey na Indragadhi ambapo ujenzi huo haujafuata michoro, Alipotembelea na kupima uzio wa mabati unaowekwa na wakandarasi wengi bila kulipiwa vibali, Katika ukaguzi huo majengo mengi yamekiuka michoro ya ujenzi na amesimamisha ujenzi huo mara moja hapo jana. Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa ya Ilala...

 

5 years ago

Michuzi

UMEME MDOGO KWA BAADHI YA MAENEO YA MJI WA ZANZIBAR,CHANZO NI ONGEZEKO LA WATUMIAJI NA UJENZI HOLELA

Na Issa Mzee Maelezo Zanzibar      12/03/2020.Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk amesema kuwepo kwa tatizo la umeme mdogo katika baadhi ya maeneo ya mji wa Zanzibar yanatokana na ongezeko la watumiaji pamoja na ujenzi holela. Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake huko Gulioni Mjini Unguja kuhusiana na mafanikio na changamoto zinazoikabili shirika hilo.Amesema Shirika hilo linachukua jitihada ya kufunga mashine kubwa (transfoma) katika...

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA, WANAOFANYA BIASHARA MAENEO YA DART

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Jumanne Sagini wakati akizungumza na watendaji mbalimbali wa ofisi hiyo leo katika mkutano wa kikazi uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Karimjee jijini Dares Salaam , ambapo lengo kuu lilikuwa ni kutoa maelekezo ya utendaji kazi kama ilivyoagizwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Afya -TAMISEMI ,Dkt .Deo Mutasiwa .Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani