Ujenzi holela unachangia kudorora uchumi
Kwa miaka ya hivi karibuni suala la ujenzi holela wa makazi limezidi kuongezeka katika maeneo mbalimbali nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 May
Rais akemea ujenzi holela Zanzibar
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein amezitaka mamlaka husika kuhakikisha wananchi waliovamia eneo la bwawa la Mwanakwerekwe wanaondolewa mara moja ili kuepuka athari zaidi za kimazingira.
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Waliofumbia, kuidhinisha ujenzi holela wawajibishwe
Baada ya onyo la muda mrefu, hatimaye wiki hii Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na halmashauri za manispaa za Kinondoni na Temeke, zimeanza kazi ya ubomoaji nyumba zote zilizojengwa, bila kufuata utaratibu, kwenye maeneo ya wazi na hifadhi za barabara.
11 years ago
GPLMANISPAA YA IRINGA YALIA NA UJENZI HOLELA
Meya wa Manispaa ya Iringa Aman Mwamwindi akizungumza na wanahabari leo kuhusu mambo mbali mbali yanayoendelea. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa, Aman Mwamwindi akizungumza na wanahabari ofisini kwake. …
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Ujenzi holela unavyoliweka Jiji la Dar es Salaam hatarini
Miaka ya karibuni Jiji la Dar es Salaam limeshuhudia kuporomoka kwa maghorofa matano katika maeneo tofauti likiwamo tukio la mwaka 2013, ambapo ghorofa lililokuwa Mtaa wa Indira Ghandi lilianguka na kupoteza maisha ya watu wapatao 34.
5 years ago
MichuziUMEME MDOGO KWA BAADHI YA MAENEO YA MJI WA ZANZIBAR,CHANZO NI ONGEZEKO LA WATUMIAJI NA UJENZI HOLELA
Na Issa Mzee Maelezo Zanzibar 12/03/2020.Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk amesema kuwepo kwa tatizo la umeme mdogo katika baadhi ya maeneo ya mji wa Zanzibar yanatokana na ongezeko la watumiaji pamoja na ujenzi holela. Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake huko Gulioni Mjini Unguja kuhusiana na mafanikio na changamoto zinazoikabili shirika hilo.Amesema Shirika hilo linachukua jitihada ya kufunga mashine kubwa (transfoma) katika...
9 years ago
MichuziWATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA, WANAOFANYA BIASHARA MAENEO YA DART
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Gama ahimiza ujenzi wa vitega uchumi
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama amesema maendeleo ya ujenzi wa Mji wa Moshi ili uwe wa kisasa utafanywa na wadau wenyewe ambao ni wakazi wa ndani na nje ya mji huo kwa lengo la kuleta maendeleo hasa ya kiuchumi.
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Ujenzi barabara za Vijijini (MIVAPF) kuimarisha uchumi Pemba
Wizara ya Kilimo na Maliasili Pemba imesema kukamilika kwa ujenzi wa barabara za vijijini (MIVAPF) kutaimarisha uchumi kwa wananchi wa Kisiwa hicho kwani kutarahisisha usafiri pamoja na usafirishaji wa mazao ya wakulima .
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-G2HiKbs4EEM/XvMKr9QGCBI/AAAAAAALvMU/jkbKtH5GrakycSZ8UXayooaeluNijey_ACLcBGAsYHQ/s72-c/images%2B%252822%2529.jpeg)
TARI- NALIENDELE MTWARA KUFANIKISHA MPANGO WA UJENZI WA UCHUMI WA VIWANDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-G2HiKbs4EEM/XvMKr9QGCBI/AAAAAAALvMU/jkbKtH5GrakycSZ8UXayooaeluNijey_ACLcBGAsYHQ/s640/images%2B%252822%2529.jpeg)
Dhamira hiyo inatokana na ukweli kuwa sekta ya kilimo kuwa mhimili muhimu katika maendeleo ya uchumi wa taifa letu ambapo Pato la Taifa linalotokana na kilimo, kwa kutumia bei za mwaka 2015 limeongezeka kwa ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania