Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujenzi barabara za Vijijini (MIVAPF) kuimarisha uchumi Pemba

Wizara ya Kilimo na Maliasili Pemba imesema kukamilika kwa ujenzi wa barabara za  vijijini (MIVAPF) kutaimarisha uchumi kwa wananchi wa Kisiwa hicho kwani kutarahisisha usafiri pamoja na usafirishaji wa mazao ya wakulima .

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA MAREKANI, AKAGUA UJENZI WA BARABARA WETE, PEMBA

 Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani ambae pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ms Shimoja Dr. Robert Shumake akimtambulisha Makamu wa Rais wa Kampuni ya maendeleo ya ujenzi ya Detroit Nchini Marekani Bw. Andrew G. McLemore kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi walipokutana kwa mazungumzo VIP ya Uwanja wa ndege wa Pemba. Aliyepo kushoto na Balozi Seif ni Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Mh. Suleiman Saleh. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

11 years ago

Mwananchi

Sumaye ataka mipango kuimarisha uchumi

 Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ameonya kuwa iwapo kutakosekana mipango ya kuimarisha hali ya uchumi wa nchi , Taifa linaweza kujikuta likitumbukia kwenye janga la mifarakano kutokana na vijana wengi kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA TENGERU-SAKINA (KM 14.1) ITAKAYOJENGWA KWA NJIA NNE MKOANI ARUSHA

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akisalimiana na baadhi ya wakazi wa Patandi wakati akiwasili kwenye hafla hiyo ya kukagua ujenzi wa barabara ya lami ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja na madaraja makubwa mawili. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akizungumza na wakaazi wa Patandi, Sangis na Tengeru kuhusu ujenzi wa barabara ya lami ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja na madaraja makubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

BIASHARA YA MAZIWA: Inakuza uchumi, kuimarisha afya

BIASHARA ya maziwa ni muhimu kwa kukuza uchumi na kuimarisha afya. Licha ya ukweli huu hapa nchini bado biashara ya maziwa na lishe haijapewa umuhimu ukilinganisha na nchi nyingine.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuweka mikakati imara ya kuimarisha uchumi

Chama cha Tathmini Tanzania kimeishauri Serikali kuweka mikakati imara ya kufanya tathmini na kutumia takwimu katika utungaji wa sera na mipango mbalimbali ya  nchi ili kuwawezesha  wananchi kuimarika  kiuchumi.

Imesemekana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazijaweka kipaumbele umuhimu wa kufanya tathmini katika miradi na matumizi ya takwimu kwenye uamuzi ,jambo ambalo  linarudisha    nyuma maendeleo ya watanzania.

 Wakati Tanzania ikiajiandaa kuadhimisha siku ya Tathmini Duniani...

 

9 years ago

Habarileo

JK ahimiza barabara vijijini kuboreshwa

RAIS Jakaya Kikwete amewataka wadau wa barabara nchini kuongeza juhudi za kutengeneza barabara za vijijini ili zipitike wakati wote wa mvua na kiangazi.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi

Watanzania wamehimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi hususani kupitia viwanda ambavyo vitazalisha bidhaa bora zitakazouzwa nje ya nchi na kujipatia fedha za kigeni.

Hivi sasa Tanzania inatajwa kuingiza bidhaa nyingi kutoka nchi za nje hali inayosababisha kudorora kwa shilingi ya Tanzania dhidi ya fedha za kigeni hususani dola ya kimarekani.

Kwa kiasi kikubwa Tanzania inauza bidhaa ghafi nje ya nchi ambazo thamani yake inakuwa chini wakati uingizwaji wa bidhaa mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani