Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye ataka mipango kuimarisha uchumi

 Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ameonya kuwa iwapo kutakosekana mipango ya kuimarisha hali ya uchumi wa nchi , Taifa linaweza kujikuta likitumbukia kwenye janga la mifarakano kutokana na vijana wengi kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA WATALAAM WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA WA NCHI WANACHAMA WA AU NA EAC, JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIO

Mwenyekiti wa Kamati ya Watalaam wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa AU na EAC Dkt. Hamisi Mwinyimvua ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha,Uchumi,Mipango na Ushirikiano wa Kikanda unaoendelea Mjini AddisAbaba –Ethiopia. Mwenyekiti wa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na kamisheni...

 

5 years ago

Michuzi

BASATA YAKUTANA NA WADAU WA SANAA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUJENGA MIPANGO YA PAMOJA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni kwa upande wa Zanzibar Dkt.Omar Abdalla Adam pamoja na watendaji wake wakutana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw.Godfrey Mngereza.

Lengo ni kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili kwa kuweka mipango ya pamoja ya utendaji kazi katika mwaka wa fedha 2020/2021.
Katika kikao hiki  taasisi hizi mbili zimekubaliana kufanya kazi kwa pamoja katika maeneo ya kuwajengea uwezo wasanii na wadau wa sanaa...

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye atoa mhadhara wa uchumi Marekani

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ametoa mhadhara katika Chuo Kikuu cha Elizabeth City, Marekani na kueleza kuwa uchumi wa Tanzania unakua kwa wastani wa asilimia 7 kwa miaka 13 tangu mwaka 2000.

 

10 years ago

Mwananchi

BIASHARA YA MAZIWA: Inakuza uchumi, kuimarisha afya

BIASHARA ya maziwa ni muhimu kwa kukuza uchumi na kuimarisha afya. Licha ya ukweli huu hapa nchini bado biashara ya maziwa na lishe haijapewa umuhimu ukilinganisha na nchi nyingine.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuweka mikakati imara ya kuimarisha uchumi

Chama cha Tathmini Tanzania kimeishauri Serikali kuweka mikakati imara ya kufanya tathmini na kutumia takwimu katika utungaji wa sera na mipango mbalimbali ya  nchi ili kuwawezesha  wananchi kuimarika  kiuchumi.

Imesemekana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazijaweka kipaumbele umuhimu wa kufanya tathmini katika miradi na matumizi ya takwimu kwenye uamuzi ,jambo ambalo  linarudisha    nyuma maendeleo ya watanzania.

 Wakati Tanzania ikiajiandaa kuadhimisha siku ya Tathmini Duniani...

 

9 years ago

Mwananchi

Ujenzi barabara za Vijijini (MIVAPF) kuimarisha uchumi Pemba

Wizara ya Kilimo na Maliasili Pemba imesema kukamilika kwa ujenzi wa barabara za  vijijini (MIVAPF) kutaimarisha uchumi kwa wananchi wa Kisiwa hicho kwani kutarahisisha usafiri pamoja na usafirishaji wa mazao ya wakulima .

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AKISOMA HALI YA UCHUMI NCHINI

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akiwasilisha hali ya uchami nchini, Bungeni jijini Dodoma. Juni 11, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

Mwananchi

LIPUMBA: Rais ajaye aunganishe wizara ya fedha na mipango ya uchumi

Baada ya miaka 54 ya uhuru wa Tanganyika, Watanzania wengi ni masikini wa kutupwa. Watoto 42 katika kila 100 wamedumaa. Hawana lishe bora na hivyo hawawezi kujenga ipasavyo ubongo wao, kinga ya mwili na maungo yao.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi

Watanzania wamehimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi hususani kupitia viwanda ambavyo vitazalisha bidhaa bora zitakazouzwa nje ya nchi na kujipatia fedha za kigeni.

Hivi sasa Tanzania inatajwa kuingiza bidhaa nyingi kutoka nchi za nje hali inayosababisha kudorora kwa shilingi ya Tanzania dhidi ya fedha za kigeni hususani dola ya kimarekani.

Kwa kiasi kikubwa Tanzania inauza bidhaa ghafi nje ya nchi ambazo thamani yake inakuwa chini wakati uingizwaji wa bidhaa mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani