Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIASHARA YA MAZIWA: Inakuza uchumi, kuimarisha afya

BIASHARA ya maziwa ni muhimu kwa kukuza uchumi na kuimarisha afya. Licha ya ukweli huu hapa nchini bado biashara ya maziwa na lishe haijapewa umuhimu ukilinganisha na nchi nyingine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sumaye ataka mipango kuimarisha uchumi

 Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ameonya kuwa iwapo kutakosekana mipango ya kuimarisha hali ya uchumi wa nchi , Taifa linaweza kujikuta likitumbukia kwenye janga la mifarakano kutokana na vijana wengi kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuweka mikakati imara ya kuimarisha uchumi

Chama cha Tathmini Tanzania kimeishauri Serikali kuweka mikakati imara ya kufanya tathmini na kutumia takwimu katika utungaji wa sera na mipango mbalimbali ya  nchi ili kuwawezesha  wananchi kuimarika  kiuchumi.

Imesemekana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazijaweka kipaumbele umuhimu wa kufanya tathmini katika miradi na matumizi ya takwimu kwenye uamuzi ,jambo ambalo  linarudisha    nyuma maendeleo ya watanzania.

 Wakati Tanzania ikiajiandaa kuadhimisha siku ya Tathmini Duniani...

 

9 years ago

Mwananchi

Ujenzi barabara za Vijijini (MIVAPF) kuimarisha uchumi Pemba

Wizara ya Kilimo na Maliasili Pemba imesema kukamilika kwa ujenzi wa barabara za  vijijini (MIVAPF) kutaimarisha uchumi kwa wananchi wa Kisiwa hicho kwani kutarahisisha usafiri pamoja na usafirishaji wa mazao ya wakulima .

 

9 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi

Watanzania wamehimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi hususani kupitia viwanda ambavyo vitazalisha bidhaa bora zitakazouzwa nje ya nchi na kujipatia fedha za kigeni.

Hivi sasa Tanzania inatajwa kuingiza bidhaa nyingi kutoka nchi za nje hali inayosababisha kudorora kwa shilingi ya Tanzania dhidi ya fedha za kigeni hususani dola ya kimarekani.

Kwa kiasi kikubwa Tanzania inauza bidhaa ghafi nje ya nchi ambazo thamani yake inakuwa chini wakati uingizwaji wa bidhaa mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

MKAKATI KABAMBE KUIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA, UTALII MBIONI-TNBC

 Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamHatua thabiti za utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) zinatarajiwa kujulikana wiki chache zijazo.
Maazimio hayo yanalenga hasa kuimarisha mazingira ya biashara nchini na sekta ya utalii.
Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa TNBC, Bw. Raymond Mbilinyi (Pichani) alisema hatua za utekelezaji maazimio mbalimbali ya kuimarisha sekta hizo zitajulikana katika mkutano wa 9 wa ...

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akihutubia katika ufunguzi rasmi wa Semina ya Ushirikiano wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Norway iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency ya Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway, Mhe. Monica Maeland, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Norway nchini, Mhe. Hanna-Marie Kaarstad na wadau...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi

5

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Juma Reli akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari za Fedha na Uchumi (hawapo pichani)  wakati wa ufunguzi wa semina hiyo jana mjini Bagamoyo, Mkoani Pwani, Kulia ni Mwenyekiti wa washiriki hao Bw. Thomas Chilala na Kushoto ni Meneja Uhusiano na Itifaki wa Benki Hiyo Bi Zalia Mbeo.

Frank Mvungi- Maelezo, Bagamoyo

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi ili kuongeza wigo wa...

 

11 years ago

Habarileo

Wawekezaji wapongezwa kuimarisha sekta ya afya

WAWEKEZAJI wamepongezwa kwa kushirikiana na jamii katika kujenga miradi mbalimbali ambayo itasaidia kuleta maendeleo na kuimarisha Sekta ya Afya. Kauli hiyo ilitolewa na Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi alipofungua hospitali ya kisasa ya akinamama wajawazito katika eneo la Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani