Serikali yashauriwa kuweka mikakati imara ya kuimarisha uchumi
Chama cha Tathmini Tanzania kimeishauri Serikali kuweka mikakati imara ya kufanya tathmini na kutumia takwimu katika utungaji wa sera na mipango mbalimbali ya nchi ili kuwawezesha wananchi kuimarika kiuchumi.
Imesemekana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazijaweka kipaumbele umuhimu wa kufanya tathmini katika miradi na matumizi ya takwimu kwenye uamuzi ,jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo ya watanzania.
Wakati Tanzania ikiajiandaa kuadhimisha siku ya Tathmini Duniani...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV11 Nov
Serikali yashauriwa kuweka mikakati ya kupunguza athari zitokanazo na majanga hasili.
Serikali imeshauriwa kuweka mikakati mahsusi ya kuwekeza kwenye Sayansi ili kupunguza kasi ya ongezeko la majanga ya asili duniani yakiwemo mafuriko, ukame na vimbunga yanayoweza kuleta athari kubwa kwa nchi zinazoendelea.
Maadhimisho ya siku ya sayansi duniani yanayofanyika Novemba 10 kila mwaka, yanakwenda sanjari na uzinduzi wa toleo jipya lenye dhana muhimu ya Sayansi Duniani kwa amani na maendeleo, likiwa na maana ya kuonyesha mwelekeo wa sayansi, teknolojia na maendeleo kwa kila...
10 years ago
Habarileo30 Apr
Serikali yatangaza mikakati ya kuimarisha shilingi
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum amesema kupatikana kwa mikopo ya kibiashara yenye thamani ya dola za Marekani milioni 500 zitasaidia kupunguza kushuka kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania.
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Serikali na mikakati ya kuimarisha elimu nje ya mfumo rasmi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Wg5Q0hfgjqk/XsgGVH73DwI/AAAAAAALrUc/X2TlJzwW7qMaSXOndhTx83pqKfMFBUUQgCLcBGAsYHQ/s72-c/96343759-612b-47d2-9b03-f0388d5a91a4.jpg)
SERIKALI YAJA NA MIKAKATI MINNE YA KUIMARISHA USALAMA KATIKA USAFIRI WA MAJINI
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imefanya Uboreshaji wa Sheria na Mamlaka ya Udhibiti ya Usafiri Majini, Kuboresha shughuli za uokoaji, Miundombinu ya Bandari na Uboreshaji wa Mafunzo na Utoaji vyeti vya Mabaharia ikiwa ni hatua muhimu za kuimarisha usalama wa usafiri majini.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe jijini Dodoma wakati akieleza mikakati iliyochukuliwa na Serikali katika kuimarisha usalama wa usafiri majini nchini ikiwa ni miaka 24...
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Mikakati inayopaswa kuzingatiwa na Serikali ijayo ili kujenga uchumi bora
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Juma Reli akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari za Fedha na Uchumi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa semina hiyo jana mjini Bagamoyo, Mkoani Pwani, Kulia ni Mwenyekiti wa washiriki hao Bw. Thomas Chilala na Kushoto ni Meneja Uhusiano na Itifaki wa Benki Hiyo Bi Zalia Mbeo.
Frank Mvungi- Maelezo, Bagamoyo
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi ili kuongeza wigo wa...
5 years ago
MichuziUCHUMI WA NCHI NI IMARA UNAKUA KILA MWAKA
Akizungumza wakati wa semina kwa waandishi wa habari kuhusiana na Uchumi na Fedha , Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Tafiti za Uchumi BoT, Dkt. Suleiman Misango amesema kuwa uchumi wa nchi unakua kila mwaka na kwa kipindi cha mwaka 2018 uchumi ulikua kwa asilimia 7 na kwa mwaka...
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
CCM Lindi yakutana kuweka mikakati mizuri
![](http://2.bp.blogspot.com/-ajWlQPI8wtU/VLNPq92YKeI/AAAAAAAAVaQ/leYpib_tnHQ/s1600/2.jpg)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa na Mwenyekiti aliyeshinda uchaguzi Hamid Rashid Namtonda akitoa salaam za kushukuru wakazi wa kijiji cha...