Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHUMI WA NCHI NI IMARA UNAKUA KILA MWAKA

IMEELEZWA kuwa Benki kuu ya Tanzania imeendelea Kuhakikisha inatoa Fedha kuendana na ukuaji wa uchumi nchini, na hiyo ni pamoja na kuangaalia Fedha iliyopo inaendana na kasi ya ukuaji uchumi wa nchi ambao unakua kila mwaka.

Akizungumza wakati wa semina kwa waandishi wa habari kuhusiana na Uchumi na Fedha , Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Tafiti za Uchumi BoT, Dkt. Suleiman Misango amesema kuwa uchumi wa nchi unakua kila mwaka na kwa kipindi cha mwaka 2018 uchumi ulikua kwa asilimia 7 na kwa mwaka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tunaelezwa uchumi unakua, mbona umaskini nao unaongezeka?

Misaada na masharti ya IMF na Benki ya Dunia inafanywa kukidhi sera za kisiasa za viongozi wa dunia ya kwanza wanaokuwa madarakani na mbaya zaidi mikataba, misaada na masharti yanazingatia usalama, faida na ziada ya uchumi wa nchi zinazoendelea.

 

11 years ago

Mwananchi

Pamoja na takwimu kuonyesha uchumi wa Tanzania unakua, bado kuna pengo kubwa kati ya maskini na matajiri

Kwa mwaka wa tano mfufulizo, Emmanuel Mhimba amekuwa akiwekeza nguvu nyingi katika kilimo cha mpunga akitarajia mafanikio makubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Jumuiya ya A. Mashariki: Mwaka 2013 iliyumba, kila nchi ilifanya yake

Mwaka 2013 uhusiano katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulionekana kuyumba hasa baada ya nchi za Kenya, Rwanda na Uganda kujitenga na kuanza kutekeleza baadhi ya miradi iliyoonekana kuwa ni ya jumuiya hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuweka mikakati imara ya kuimarisha uchumi

Chama cha Tathmini Tanzania kimeishauri Serikali kuweka mikakati imara ya kufanya tathmini na kutumia takwimu katika utungaji wa sera na mipango mbalimbali ya  nchi ili kuwawezesha  wananchi kuimarika  kiuchumi.

Imesemekana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazijaweka kipaumbele umuhimu wa kufanya tathmini katika miradi na matumizi ya takwimu kwenye uamuzi ,jambo ambalo  linarudisha    nyuma maendeleo ya watanzania.

 Wakati Tanzania ikiajiandaa kuadhimisha siku ya Tathmini Duniani...

 

11 years ago

Mwananchi

Maridhiano muhimu kupata Katiba Mpya, nchi bora, imara na yenye ustawi wa uhakika

BAADHI ya Watanzania wanaamini kwamba kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu kwa hivi sasa, ipo haja ya kuwa na maridhiano kati ya wanasiasa wetu na vilevile makubaliano kati ya watawala na watawaliwa juu ya jinsi watawaliwa wanavyotaka watawala waendeshe nchi na mambo yao,  kwa manufaa ya watawaliwa na siyo watawala peke yao.

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2020/21 WAWASILISHWA BUNGENI, LEO

MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DK. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWAMWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEOWA TAIFA WA MWAKA 2020/21
UTANGULIZI
1.          Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21. Pamoja na hotuba hii ninawasilisha vitabu vya Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kila mtu akipiga ‘pushapu’, uchumi wetu utapaa

NIMESOMA kwa makini maelezo ya mwandishi Ben Saanane kwenye matoleo yaliyopita ya gazeti hili.

Ezekiel Kamwaga

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK: Uchumi wa nchi unategemea barabara

RAIS Jakaya Kikwete amesema uchumi wa nchi yoyote duniani unategemea barabara nzuri pamoja na miundombinu bora. Alitoa kauli hiyo alipowahutubia wananchi wa Korogwe, mkoani Tanga, kabla ya kuzindua sehemu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani