JK: Uchumi wa nchi unategemea barabara
RAIS Jakaya Kikwete amesema uchumi wa nchi yoyote duniani unategemea barabara nzuri pamoja na miundombinu bora. Alitoa kauli hiyo alipowahutubia wananchi wa Korogwe, mkoani Tanga, kabla ya kuzindua sehemu ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Nigeria: Uchumi unategemea kuwepo kwa kawi
11 years ago
Habarileo10 Mar
KWA NINI SERIKALI 2 HAZIEPUKIKI?:Uchumi Zanzibar unategemea Bara
WAKATI Bunge Maalum la Katiba likisuasua katika kuunda kanuni za kuongoza wajumbe wake, taarifa zinaonesha katika muundo uliopo wa serikali mbili, mbali na kuimarisha umoja na mshikamano wa Taifa, pia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imekuwa ikinufaika nao kiuchumi.
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Barabara Handeni — Mkata mhimili wa kukuza uchumi
BARABARA ni njia inayounganisha maeneo mawili au zaidi. Katika nchi yoyote barabara imekuwa ndiyo njia kuu ya uchumi, kwa kuwa husafirisha wafanyabiashara pamoja na mizigo. Ndiyo maana nchi yoyote yenye...
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Ujenzi barabara za Vijijini (MIVAPF) kuimarisha uchumi Pemba
10 years ago
Habarileo03 Sep
‘Barabara ya lami ya Dodoma hadi Iringa itakuza uchumi’
RAIS Jakaya Kikwete amesema kufunguka kwa barabara kutoka Dodoma hadi Iringa, kutakuza shughuli za kiuchumi na kupunguza umasikini kutokana na barabara hiyo kuwa sehemu ya barabara kuu inayoanzia Cape Town nchini Afrika Kusini kupitia Tanzania hadi Cairo, Misri, maarufu kama The Great North Road.
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Waaswa kuinua uchumi wa nchi
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XxhH5g03vv8/VRrEKblJb6I/AAAAAAAHOls/g1T0e3kwuic/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
TANZANIA YAWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA WATALAAM WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA WA NCHI WANACHAMA WA AU NA EAC, JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIO
![](http://4.bp.blogspot.com/-XxhH5g03vv8/VRrEKblJb6I/AAAAAAAHOls/g1T0e3kwuic/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AeIOCOaueNc/VRrEKiMEgOI/AAAAAAAHOlo/IqsGRxrpJ8o/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Utalii kukuza uchumi nchi za Afrika
KATIKA kukuza soko la utalii hivi karibuni Afrika Kusini ilifungua ofisi mjini Lagos nchini Nigeria. Ufunguzi wa ofisi hiyo ni ishara ya mwingiliano wa utalii baina ya nchi za Kiafrika ...
9 years ago
Mwananchi20 Aug
Benki Kuu na maendeleo ya uchumi wa nchi