Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara Handeni — Mkata mhimili wa kukuza uchumi

BARABARA ni njia inayounganisha maeneo mawili au zaidi. Katika nchi yoyote barabara imekuwa ndiyo njia kuu ya uchumi, kwa kuwa husafirisha wafanyabiashara pamoja na mizigo. Ndiyo maana  nchi yoyote yenye...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK KUIFUNGUA BARABARA YA MKATA — HANDENI NA HANDENI — KOROGWE MKOANI TANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kesho anatarajiwa kuifungua rasmi barabara ya Mkata - Handeni ambayo ujenzi wake umekamilika kwa kiwango cha lami.  Kwa muibu wa taarifa kutoka Wizara ya Ujenzi, Barabara hii ina urefu wa kilometa 53.2.   Akiwa Wilayani Handeni, Rais Kikwete ataifungua pia barabara ya Korogwe – Handeni ambayo vile vile imekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.  Barabara hii ina urefu wa kilometa 65. Katika hatua nyingine mnamo...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZIFUNGUA BARABARA ZA MKATA — HANDENI NA KOROGWE — HANDENI MKOANI TANGA.

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (mwenye koti jeusi katikati) akiwa na baadhi ya Mawaziri, Wabunge na Viongozi wa mkoa wa Tanga wakishiriki kuifungua rasmi barabara ya Handeni – Mkata na Handeni - Korogwe huko mkoani Tanga.  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (aliyenyoosha mkono) akifurahia jambo na Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anayempongeza kiongozi wa kikundi cha ngoma ya Selo baada ya kutumbuiza wakati wa sherehe za ufunguzi wa barabara ya Mkata – Handeni - Korogwe....

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ni mhimili mkuu wa uchumi Afrika Mashariki na Kati

Mkutano wa marais wa nchi zinazounda Ukanda wa Kati wa Kibiashara, Barani Afrika, wamekutana jijini Dar es Salaam na kuweka mikakati mbalimbali ya kukuza sekta ya miundombinu ya barabara na reli, kwa manufaa ya mataifa hayo.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete Ziarani Mkoa wa Tanga, azindua Mradi wa Maji Mkata, agawa madume bora ya ng'ombe handeni

Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi   -Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Msomela wakatia  a lipokwenda kukabidhi madume bora ya ng’ombe kwa wafugaji leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya madume bora ya ng’ombe na kasha kuwakabidhi baadhi ya wafugaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete: Ni wakati wa kukuza uchumi

>Rais Jakaya Kikwete juzi alifungua rasmi Barabara ya Mkata-Handeni-Korogwe iliyojengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 119.

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania, Ujerumani kukuza uchumi

Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck (kushoto) na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete wakiwasalimia watoto na wananchi baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam jana kwa ziara ya siku tano. (Na Mpigapicha Wetu).RAIS Jakaya Kikwete na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck wamekubaliana katika kukuza ushirikiano wa kiuchumi, huku Rais Kikwete akiitaka Serikali ya Ujerumani kuenedelea kuisaidia Tanzania katika kukuza uchumi kwa kutoa misaada ya maendeleo na kuwekeza zaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka 2 ya Mgimwa, kukuza uchumi

Moja kati ya sikukuu mbaya zilizowahi kutokea kwa Rais Jakaya Kiwete, Serikali na taifa kwa ujumla ni wakati wa kusherehekea mwaka mpya wa 2014, hii ni kutokana na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha na Uchumi Dk William Mgimwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukanda wa Kati wapania kukuza uchumi

Nchi za Afrika Mashariki na Kati zimetakiwa kuondokana na vitendo vinavyochelewesha ustawi wa mataifa hayo kiuchumi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utalii kukuza uchumi nchi za Afrika

KATIKA  kukuza  soko la utalii hivi karibuni  Afrika Kusini ilifungua ofisi mjini Lagos nchini Nigeria. Ufunguzi wa ofisi hiyo ni ishara ya mwingiliano wa utalii baina ya nchi za Kiafrika ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani