Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maridhiano muhimu kupata Katiba Mpya, nchi bora, imara na yenye ustawi wa uhakika

BAADHI ya Watanzania wanaamini kwamba kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu kwa hivi sasa, ipo haja ya kuwa na maridhiano kati ya wanasiasa wetu na vilevile makubaliano kati ya watawala na watawaliwa juu ya jinsi watawaliwa wanavyotaka watawala waendeshe nchi na mambo yao,  kwa manufaa ya watawaliwa na siyo watawala peke yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maridhiano ni muhimu katika kupata Katiba Mpya

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari Rais Jakaya Kikwete akiwataka Umoja wa Katiba wa Wananchi (Ukawa, waliosusia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake, kurejea ili kutunga Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunahitaji katiba yenye maridhiano

MIONGONI mwa habari zilizopo kwenye gazeti hili leo, ni kauli ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu, akimtaka Rais Jakaya Kikwete, awaombe radhi Watanzania kwa...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM NI KAMPUNI BORA YENYE MTANDAO WA UHAKIKA NCHINI AFRIKA YA KUSINI

UTAFITI  uliofanywa na magazeti makubwa yanayoaminika nchini Afrika ya Kusini ya Mail na Guardian baada ya kushindanisha makampuni mbalimbali  kutafuta orodha ya makampuni bora na yanayoaminika nchini humo yaliitaja Kampuni ya Vodacom  jana  kuwa ni kampuni inayoongoza kwa kuwa na mtandao bora na wa kuaminika nchini humo.
Vodacom imetangazwa kutokana na utafiti huo uliofanywa na magazeti hayo katika hafla ya kutangaza makampuni bora ilifanyika jana katika hoteli ya Sandton mjini...

 

11 years ago

Michuzi

Pinda awataka wajumbe wa bunge maalum kuepuka mivutano, wazingatie mambo muhimu kupata katiba mpya

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kuwaomba wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuepuka mivutano na badala yake wazingatie mambo muhimu yatakayosaidia Taifa na Watanzania kupata Katiba mpya .

 

5 years ago

Michuzi

CHAURU YATARAJIA KUPATA SOKO LA UHAKIKA MSIMU HUU MPYA-CHACHA

.
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI 
CHAMA Cha Ushirika wa Wakulima wa Umwagiliaji Mpunga Ruvu (CHAURU) ,uliopo Ruvu ,Chalinze mkoani Pwani ,kinatarajia kuondokana na kilio cha ukosefu wa soko la uhakika la mchele ,katika msimu wa mavuno 2020/2021 baada ya kupatikana mnunuzi kutoka nchini Uholanzi.
Aidha ushirika huo ,unalenga kuzalisha na kuinua mavuno kwa wakulima wake kutoka tani 4,700 walizopata msimu uliopita na kufikia tani 5,500 kwa mwaka huu. 
Akielezea malengo ya msimu mpya wa kilimo cha...

 

10 years ago

Habarileo

Butiku: Elimu kwa umma muhimu kupata Katiba

MJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku, ametaka elimu kuhusu mchakato wa Katiba itolewe kwa Watanzania walio wengi, ili siku ya kupiga kura wafanye hivyo kwa dhamira yao wenyewe.

 

10 years ago

Mwananchi

Sofu: Bila uhakika wa ardhi hakuna Katiba mpya

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Veronika Sofu ameitahadharisha Serikali kuwa isipoingiza suala la ardhi katika Rasimu ya Katiba, wananchi hawataipitisha wakati wa kupiga kura ya maoni.

 

11 years ago

Michuzi

Dkt Shein afunga mkutano wa Tafakuri na maridhiano katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiashiria jambo wakati wa akiufunga mkutano wa Tafakuri na maridhiano  katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania katika ukumbi wa White sand jijini  Dar es Salaam,uliowashirikisha wanasiasa,Mashirika ya Kijamii na Viongozi wa Dini mbali mbali nchini  Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili  kuhusu tafakuri na maridhiano katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani