Maridhiano ni muhimu katika kupata Katiba Mpya
Jana katika gazeti hili tulichapisha habari Rais Jakaya Kikwete akiwataka Umoja wa Katiba wa Wananchi (Ukawa, waliosusia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake, kurejea ili kutunga Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Maridhiano muhimu kupata Katiba Mpya, nchi bora, imara na yenye ustawi wa uhakika
BAADHI ya Watanzania wanaamini kwamba kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu kwa hivi sasa, ipo haja ya kuwa na maridhiano kati ya wanasiasa wetu na vilevile makubaliano kati ya watawala na watawaliwa juu ya jinsi watawaliwa wanavyotaka watawala waendeshe nchi na mambo yao, kwa manufaa ya watawaliwa na siyo watawala peke yao.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Ac5FLsmlzmM/UzMwPM9njBI/AAAAAAAFWro/4iiweQTmQuQ/s72-c/unnamed+(11).jpg)
Pinda awataka wajumbe wa bunge maalum kuepuka mivutano, wazingatie mambo muhimu kupata katiba mpya
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ac5FLsmlzmM/UzMwPM9njBI/AAAAAAAFWro/4iiweQTmQuQ/s1600/unnamed+(11).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aA5ihZ1G0ds/Uvz3PXQyzEI/AAAAAAAFM88/7XiiWUvx2Rk/s72-c/unnamed+(25).jpg)
Dkt Shein afunga mkutano wa Tafakuri na maridhiano katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania
![](http://4.bp.blogspot.com/-aA5ihZ1G0ds/Uvz3PXQyzEI/AAAAAAAFM88/7XiiWUvx2Rk/s1600/unnamed+(25).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--AYNXH9pEDA/Uvz3Q36G6iI/AAAAAAAFM9E/MEvxUKQtKYg/s1600/unnamed+(22).jpg)
11 years ago
Michuzi12 Feb
10 years ago
Habarileo20 Aug
Butiku: Elimu kwa umma muhimu kupata Katiba
MJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku, ametaka elimu kuhusu mchakato wa Katiba itolewe kwa Watanzania walio wengi, ili siku ya kupiga kura wafanye hivyo kwa dhamira yao wenyewe.
11 years ago
Michuzi12 Feb
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TAFAKURI MARIDHIANO KUELEKEA KATIBA MPYA, JIJINI DAR LEO.
![](https://1.bp.blogspot.com/-0Kdl8JMdOD4/UvtO0qFHd0I/AAAAAAAAL2Y/eZ0dUk1MpQI/s1600/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-fQQ9grSC-MA/UvtO4WTAcUI/AAAAAAAAL2g/lmY5G_Mw4jA/s1600/3.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya...
11 years ago
BBCSwahili03 Jan
Tunisia kupata katiba mpya
Wabunge nchini Tunisia wameanza kupigia kura rasimu ya katiba mpya ambayo ilipaswa kupitishwa miaka kadhaa iliyopita
10 years ago
Mwananchi22 Aug
ALAT kupata fursa Katiba Mpya
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro amewasilisha katika Bunge Maalumu, mapendekezo ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini (ALAT) ya kuongezwa kwa sura mpya katika mchakato wa Katiba.
10 years ago
Mwananchi01 Mar
POLEPOLE: Mambo 70 muhimu ya wananchi yaliyofutwa katika Katiba Inayopendekezwa-2
>Wiki iliyopita tulianza kukuletea mambo 70 muhimu ya wananchi yaliyofutwa katika Katiba Inayopendekezwa. Mambo haya yalikuwa kwenye rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo Mwenyekiti wake alikuwa Jaji Joseph Warioba. Leo tunaendelea na maeneo mengine 20.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania