Sofu: Bila uhakika wa ardhi hakuna Katiba mpya
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Veronika Sofu ameitahadharisha Serikali kuwa isipoingiza suala la ardhi katika Rasimu ya Katiba, wananchi hawataipitisha wakati wa kupiga kura ya maoni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Katibu: Bila Ukawa hakuna Katiba Mpya
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tn_gx7jJjP4/VV7auRCGFSI/AAAAAAAHY7o/bmRHNuy1tq8/s72-c/unnamed%2B%25284%2529.jpg)
HAKUNA MAENDELEO BILA NISHATI YA UHAKIKA-MHE. KITWANGA
11 years ago
Mwananchi29 Jun
‘Bila Ukawa hakuna Katiba’
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Katibu: Sijasema bila Ukawa hakuna Katiba
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Maridhiano muhimu kupata Katiba Mpya, nchi bora, imara na yenye ustawi wa uhakika
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Bila uadilifu katiba mpya ni kiinimacho
RAIS anapochaguliwa kawaida huapishwa kuilinda katiba ya nchi. Katika kumwezesha kukitimiza kiapo hicho hupewa mamlaka makubwa ya uamuzi. Hupatiwa jeshi na zana zote zinazomwezesha kukilinda kiapo chake cha kuilinda katiba...
11 years ago
Habarileo24 Apr
Wajumbe wataka sura ya ardhi Katiba mpya
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametaka kuwepo kwa sura maalumu katika Katiba mpya, itakayozungumzia suala la ardhi pekee, ikiwa ni hatua ya kupunguza migogoro baina ya wakulima na wafugaji kwa kuweka mgawanyo sahihi wa rasilimali hiyo.
10 years ago
Habarileo06 Nov
Wamsihi Kikwete asiondoke Ikulu bila Katiba mpya
WAZEE wa Mkoa wa Dodoma wamemtaka Rais Kikwete kusimamia mchakato wa kura ya maoni ili Katiba mpya ipatikane kabla ya kumaliza kipindi chake cha uongozi.
10 years ago
Tanzania Daima24 Oct
Tibaijuka aihakikishia NHC ardhi ya uhakika
WAZIRI wa Ardhi na Maendeleo na Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, amesema atahakikisha ardhi inayochukuliwa na Shirika la Nyumba nchini (NHC) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi haipatwi na migogoro baina...