Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAKUNA MAENDELEO BILA NISHATI YA UHAKIKA-MHE. KITWANGA

 Na Mwandishi Maalum, New York  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaamini kwamba, utekelezaji wa mipango na malengo ya mbalimbali ya maendeleo hayataweza kupatika au kufikiwa kwa haraka pasi na uwepo wa nishati endelevu na kwa wote. Ni kutokana na kulitambua hilo, Tanzania imejikita kikamilifu katika kukuza uwezeshaji wa matumizi ya teknolojia za kisasa na mbinu za kuongeza upatikanaji wa huduma za kisasa za nishati ikiwa ni pamoja na kuongeza maradufu kiwango cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HAKUNA MAENDELEO BILA NISHATI ENDELEVU-MHE KITWANGA

Mhe. Charles Kitwanga ( Mb) Naibu Waziri, Nishati na Madini akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mkakati wa Nishati Endelevu kwa Wote (SE4All) wakati wa Mkutano wa siku Mbili wa Mawaziri wa Sekta ya Nishani, uliofanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini ambao wamefuatana na Naibu Waziri katika mkutano huu muhimu uliojadili kwa kina nafasi na umuhimu wa nishati endelevu kwa wote katika kusukuma mbele malengo ya maendeleo...

 

10 years ago

Michuzi

HAKUNA MAENDELEO BILA NISHATI ENDELEVU - KITWANGA

Mhe. Charles Kitwanga ( Mb) Naibu Waziri, Nishati na Madini akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mkakati wa Nishati Endelevu kwa Wote (SE4All) wakati wa Mkutano wa siku Mbili wa Mawaziri wa Sekta ya Nishani, uliofanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini ambao wamefuatana na Naibu Waziri katika mkutano huu muhimu uliojadili kwa kina nafasi na umuhimu wa nishati endelevu kwa wote katika kusukuma mbele malengo ya maendeleo endelevu , ukuaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Sofu: Bila uhakika wa ardhi hakuna Katiba mpya

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Veronika Sofu ameitahadharisha Serikali kuwa isipoingiza suala la ardhi katika Rasimu ya Katiba, wananchi hawataipitisha wakati wa kupiga kura ya maoni.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI CHARLES KITWANGA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (Kushoto) na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (kulia) wakiingia kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam kwa ajili ya kufungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa wizara ya nishati na madini unaoanza tarehe 01 hadi tarehe 02, Aprili 2015 wenye lengo la kujadili mafanikio na changamoto katika utendaji kazi wa Wizara pamoja na taasisi zake.Mwenyekiti wa Chama cha...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. STEPHEN MASELE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (Kulia) akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (Kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, asikitishwa na mtindo wa “Tegesha” unaofanywa na wananchi eneo la kuzunguka mgodi wa North Mara

 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, akizungumza na mama huyu mkazi wa kijiji cha Nyakunguru, kilicho jirani na eeno la mgodi wa North Mara, huko Nyamongo wilayani Tarime mkoa wa Mara, wakati alipofanya ziara ya kutembelea maeneo yanayozunguka mgodi huo Jumatatu Mei 5, 2015 ili kufahamu jitihada za mgodi kuendeleza miradi ya kijamii na changamoto ambazo Jamii na Mgodi zinapata kutokana na shughuli za uchimbaji.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (Wapili...

 

10 years ago

Michuzi

Umeme wa uhakika ndiyo nguzo ya maendeleo ya uchumi nchini — IPTL

 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), iliyo chini ya Pan Africa Power Solutions (PAP), Bw. Harbinder Sethi (Kushoto), akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) maboresho yaaliyofanyika katika kiwanda hicho tangu PAP ilipochukua uongozi wa IPTL. Wakishuhudia ni baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya IPTL. 
 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), iliyo chini ya Pan Africa Power...

 

10 years ago

Michuzi

MH. KITWANGA AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI NA TAASISI ZINAZOSIMAMIA SEKTA YA MADINI NCHINI

Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao chake na watendaji wanaosimamia sekta ya madini nchini. Kushoto kwake ni Kamishna wa Madini nchini, Eng. Paul Masanja. Wengine kutoka kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Mjiolojia Mwandamizi Subian Chiragwile, Kaimu Mkurugenzi wa Migodi na Huduma za Kihandisi kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Bi.Zena Kongoi, na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma wa STAMICO,...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Bila Ukawa hakuna Katiba’

Wakati kukiwa na juhudi za watendaji wa Bunge maalumu la Katiba kuwashawishi viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wawaruhusu wabunge wao kurejea bungeni wakati vikao vya Bunge hilo vitakavyoanza Agosti 5 mwaka huu, bado utata umegubika kuhusu uwezekano wa kupatikana katiba hiyo kwa wakati

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani