Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. STEPHEN MASELE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (Kulia) akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (Kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele afungua rasmi semina ya wachimbaji wadogo Kibara mkoani Mara

Picha Na. 1

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini Mhe. Stephen Masele akifungua mafunzo ya wachimbaji  wadogo yaliyofanyika Kibara, mkoani Mara.   Pia semina hiyo ilishirikisha viongozi wa vijiji, vyama  pamoja na madiwani lengo likiwa ni kuwapa uelewa wa  sheria na  kanuni za uchimbaji wa madini. Aliyekaa katikati ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara  Mhe. Kangi Lugora.  Kushoto ni Kamishna Msaidizi – Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo Mhandisi Fredy Mahobe.

Picha Na. 2

Naibu Waziri  wa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa atuma salamu za Rambirambi kwa BAKWATA kufuatia kifo cha Mufti Issa Bin Shaaban Simba. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Mkapa, amemtumia Kaimu Mufti wa Tanzania, salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mufti Issa Bin Shaaban Simba kilichotokea Jumatatu katika hospitali ya TMJ. Katika salamu zake Mhe. Mkapa ameelezea kushtushwa kwake na kifo cha Mufti Simba ambae amemuelea kama kiongozi “aliyekuwa muadilivu,...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akutana na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo

Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo aliyemtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Mhe Mhe. Prefere Ndayishimiye aliyesimama katikati ni Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo. Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akimsikiliza kwa umakini Rais wa Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia ) akizungumza na balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake leo kwa ajili ya maandalizi ya kongamano la China – Afrika linalotarajiwa kufanyika mkoani Arusha, Tanzania mapema Machi, 2015. Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia) juu ya hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya kongamano hilo.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti

Mbunge wa Mvomero Mh, Amos Makalla ameridhia pendekezo la wananchi kumuona Waziri Mkuu Mh, Mizengo Pinda kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita ambapo watu watatu walipoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wafugaji kulishia Mazao ya wakulima katika mashamba yaliopo bonde la mgongola.  Kutokana na hali hiyo, Mbunge huyo kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji cha Kugugu kuongea na...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Mhe. Membe akutana na Mhe. Mark Simmonds, Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika

Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Mark Simmonds, Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza leo tarehe 11 Juni 2014.  Pamoja na mambo mengine, Mawaziri hao wamezungumzia maazimio ya Mkutano wa Kimataifa kuhusu Ukomeshwaji wa Udhalilishaji wa Kijinsia kwenye Maeneo yenye Migogoro (“End Sexual Violence in Conflict”) unaoendelea mjini London, Uingereza.   Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani