Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamsihi Kikwete asiondoke Ikulu bila Katiba mpya

WAZEE wa Mkoa wa Dodoma wamemtaka Rais Kikwete kusimamia mchakato wa kura ya maoni ili Katiba mpya ipatikane kabla ya kumaliza kipindi chake cha uongozi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Bila uadilifu katiba mpya ni kiinimacho

RAIS  anapochaguliwa kawaida huapishwa kuilinda katiba ya nchi. Katika kumwezesha kukitimiza kiapo hicho hupewa mamlaka makubwa ya uamuzi. Hupatiwa jeshi na zana zote zinazomwezesha kukilinda kiapo chake cha kuilinda katiba...

 

11 years ago

Mwananchi

Katibu: Bila Ukawa hakuna Katiba Mpya

>Wakati umesalia mwezi mmoja na siku 10 kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuanza tena vikao vyake mjini Dodoma kuendeleza mchakato wa Katiba Mpya itakayowaongoza Watanzania kwa zaidi ya miaka 50 ijayo, Mtendaji Mkuu wa Bunge hilo amesema kuwa bila kundi la Ukawa kurejea na kushiriki hatua zote haitawezekana kupata Katiba Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Sofu: Bila uhakika wa ardhi hakuna Katiba mpya

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Veronika Sofu ameitahadharisha Serikali kuwa isipoingiza suala la ardhi katika Rasimu ya Katiba, wananchi hawataipitisha wakati wa kupiga kura ya maoni.

 

11 years ago

GPL

KATIBA MPYA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI IMANI ZA KIDINI

Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) Valery Msoka.
Na Walusanga Ndaki
SUALA la ndoa za watoto wadogo – chini ya umri wa miaka 18 – limekuwa likiendelea kwa miaka mingi bila kupatiwa ufumbuzi.  Tatizo hili, kwa mujibu wa mkanganyiko wa sheria zilizopo, limekuwa likipigiwa kelele bila ufumbuzi kwa zaidi ya miaka 40 sasa tangu kupitishwa kwa sheria yenye kuruhusu mtoto wa kike kufunga au...

 

9 years ago

Mwananchi

Warioba: Mabadiliko bila maadili kwenye Katiba Mpya kazi bure

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema nchi haiwezi kuwa na mabadiliko ya kweli, kama miiko na maadili ya viongozi havitaingizwa kwenye Katiba Mpya.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMWAPISHA IGP MPYA NA NAIBU WAKE LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii.…
...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE LEO IKULU

 Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.    Rais Jakayta Kikwete akimkabidhi nyaraka za kazi Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

  Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania nchini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete amwapisha CAG mpya leo , Ikulu Jiji Dar

Picha na 1.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimwapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Prof. Musa Juma Assad, leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Picha na 2

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Prof. Musa Juma Assad akisaini hati ya kiapo chake mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Picha na 3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amuapisha Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kombey Ikulu jijini Dar

t (1)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam, Julai 25, 2015.

t (2)

Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni, Julai 25, 2015.

Rais-uteuzi-tume ya uchaguzi.doc 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani