Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAJA NA MIKAKATI MINNE YA KUIMARISHA USALAMA KATIKA USAFIRI WA MAJINI


Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imefanya Uboreshaji wa Sheria na Mamlaka ya Udhibiti ya Usafiri Majini, Kuboresha shughuli za uokoaji, Miundombinu ya Bandari na Uboreshaji wa Mafunzo na Utoaji vyeti vya Mabaharia ikiwa ni hatua muhimu za kuimarisha usalama wa usafiri majini.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe jijini Dodoma wakati akieleza mikakati iliyochukuliwa na Serikali katika kuimarisha usalama wa usafiri majini nchini ikiwa ni miaka 24...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Serikali yatangaza mikakati ya kuimarisha shilingi

Waziri wa Fedha, Saada MkuyaWAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum amesema kupatikana kwa mikopo ya kibiashara yenye thamani ya dola za Marekani milioni 500 zitasaidia kupunguza kushuka kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuweka mikakati imara ya kuimarisha uchumi

Chama cha Tathmini Tanzania kimeishauri Serikali kuweka mikakati imara ya kufanya tathmini na kutumia takwimu katika utungaji wa sera na mipango mbalimbali ya  nchi ili kuwawezesha  wananchi kuimarika  kiuchumi.

Imesemekana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazijaweka kipaumbele umuhimu wa kufanya tathmini katika miradi na matumizi ya takwimu kwenye uamuzi ,jambo ambalo  linarudisha    nyuma maendeleo ya watanzania.

 Wakati Tanzania ikiajiandaa kuadhimisha siku ya Tathmini Duniani...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali na mikakati ya kuimarisha elimu nje ya mfumo rasmi

Pamoja na kusimamia na kusimamia elimu ya mfumo rasmi, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi haijaipa kisogo elimu ya watu wazima na ile ya nje ya mfumo rasmi.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra yazuia vyombo vya usafiri wa majini

MAMLAKA ya Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imevizuia kutoa huduma kwa muda usiojulikana vyombo vyote vya usafirishaji wa majini vya mkoani hapa hadi hapo vitakapokaguliwa.

 

11 years ago

Michuzi

USAFIRI WA MAJINI ZIWA TANGANYIKA JIONI YA LEO MKOANI KIGOMA.

  Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika,sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Kagunga,ambapo abiria hulipa nauli ya shilingi Elfu tano kwa kila kichwa,na huchukua masaa mane kufika kwenye ufukwe huo,ambako ni mpakani mwa jirani na nchi ya Burundi. Abiria wakifunikwa turubai wasilowane na mvua,wakati ilipoanza kunyesha mjin hapa.  Baadhi ya abiria kutoka sehemu...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA CP SABAS AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUIMARISHA ULINZI, USALAMA KATIKA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI

 Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia  Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo.  Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akikagua moja ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika Operesheni ya kuimalisha ...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yaja na mapya katika elimu

Serikali imeanzisha mfumo mpya wa udahili kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza, kwa kuwalipia ada watakaojiunga na shule binafsi.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YA JAPAN YAINGIA MIKATABA MINNE KUUNGA MKONO HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA VIJIJI NCHINI TANZANIA


Serikali ya Japan kupitia balozi wake nchini Tanzania Mh. Goto Shinichi Februari 28,2020 jijini Dar es Salaam imeingia mikataba minne tofauti katika muendelezo wa kuendelea kuunga mkono huduma za kijamii katika vijiji mbalimbali nchini Tanzania.

Serikali hiyo ya Japan ikiwakilishwa na Balozi Goto Shinichi imeingia mkataba wa kusambaza magari ya wagonjwa katika hospitali ya KCMC wenye thamani ya dola za Kimarekani 52,996.

Mkataba mwengine ni pamoja na kusaidia mazingira ya elimu katika wilaya...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania, Uholanzi kuimarisha usafiri wa anga

WIZARA ya Uchukuzi imesaini mkataba na Uholanzi kwa ajili ya kuongeza wigo wa safari za ndege baina ya nchi hizo (BASA) kukabili changamoto za usafiri wa anga pamoja na kuongeza ulinzi na usalama wa anga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani