Museveni akataa kuidhinisha mswada tata
Rais wa UG, Yoweri Museveni amekataa kuidhinisha mswaada unatatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Mswada tata wazua vurugu bungeni Kenya
Wabunge wa Kenya wametofautiana pakubwa bungeni kufuatia mjadala mkali kuhusu mswaada tatanishi wa usalama kiasi cha kulazimisha bunge kusitisha kikao kwa muda
11 years ago
BBCSwahili23 Feb
Tutu amsihi Museveni kuhusu mswada mpya
Desmond Tutu amuomba Rais Museveni afikirie tena mswada kuhusu wapenzi wa jinsia moja
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Marekani kuidhinisha 'viagra ya wanawake'
Jopo la serikali ya Marekani limewaagiza wasanifu kuidhinisha dawa ya kutibu hamu ya chini ya kiwango cha ngono miongoni mwa wanawake inayojulikana kama ''Female Viagra''.
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Waliofumbia, kuidhinisha ujenzi holela wawajibishwe
Baada ya onyo la muda mrefu, hatimaye wiki hii Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na halmashauri za manispaa za Kinondoni na Temeke, zimeanza kazi ya ubomoaji nyumba zote zilizojengwa, bila kufuata utaratibu, kwenye maeneo ya wazi na hifadhi za barabara.
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
IMF kuidhinisha Yuan kuwa sarafu ya kimataifa
IMF inatarajiwa kutangaza baadaye leo kuwa sarafu ya uchina ya Yuan, itajumuishwa kwenye orodha ya sarafu za kimataifa.
10 years ago
Habarileo13 May
Anusurika kuuawa kwa kukataa kuidhinisha fedha
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Endiamtu mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, amenusurika kufa kwa kushambuliwa kwa kupigwa ngumi na Mwenyekiti wake baada ya kutoidhinisha matumizi ya Sh milioni moja.
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Katiba ije na sheria ya Bunge kuidhinisha mikataba yote
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Cecilia Paresso, ameshauri kuingizwa kifungu katika rasimu ya Katiba ambacho kitalazimisha Serikali kuifikisha bungeni mikataba yote ya kimataifa ili kuridhiwa bungeni.
11 years ago
BBCSwahili27 Feb
Mswada wa kuwabagua mashoga wakatiliwa.
Gavana wa jimbo la Arizona nchini Marekani aukataa mswada ambao ungesababisha kubaguliwa kwa watu wa jinsia moja.
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Mswada mpya wa usalama Kenya
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ametia sahihi sheria mpya ya kukabiliana na maswala ya usalama nchini, ambapo maafisa wa usalama watasikiliza mawasiliano ya simu ya watu hata bila kuwaarifu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania