IMF kuidhinisha Yuan kuwa sarafu ya kimataifa
IMF inatarajiwa kutangaza baadaye leo kuwa sarafu ya uchina ya Yuan, itajumuishwa kwenye orodha ya sarafu za kimataifa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
CPA kuwa ya kimataifa?
Na Mwandishi Wetu, Arusha
KAMATI ya wawakilishi wa mabunge wanachama wa Jumuia ya Madola Kanda ya Afrika (CPA) inatarajia kuwasilisha ripoti yenye mapendekezo ya kutaka Bunge hilo liwe na mwonekano wa kimataifa.
Ripoti hiyo itawasilishwa katika mkutano mkuu wa 45 unaofanyika mjini Arusha.
Uamuzi wa kuwasilishwa kwa ripoti hiyo ulifikiwa jana na kamati ya wawakilishi wa mabunge wanachama wa umoja huo, iliyoketi katika ukumbi wa mikutano kwenye hoteli ya Ngurdoto.
Akizungumza katika kikao cha...
10 years ago
GPL
BELLE 9 KUWA KIMATAIFA ZAIDI!
5 years ago
BBCSwahili11 Mar
WHO yatangaza coronavirus kuwa janga la kimataifa
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Ndoto zangu ni kuwa msanii wa kimataifa
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Marekani kuidhinisha 'viagra ya wanawake'
11 years ago
BBCSwahili17 Jan
Museveni akataa kuidhinisha mswada tata
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Waliofumbia, kuidhinisha ujenzi holela wawajibishwe
10 years ago
Michuzi.jpg)
Tanzania kuwa mwenyeji Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni
.jpg)
10 years ago
Mtanzania20 Oct
Diamond Platnumz: Bila Kiingereza huwezi kuwa wa kimataifa
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii anayetaka kuwa wa kimataifa.
Diamond alipokuwa kwenye mahafali ya darasa la saba Shule ya Rightway, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, alisema
lugha hiyo ilimpa hofu wakati alipokuwa akitaka kufikia soko la kimataifa.
“Mwaka jana nilipata mwaliko wa kutumbuiza kwenye jumba la Big Brother, Babu Tale, akaniambia baada ya onyesho nitafanyiwa...