Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CPA kuwa ya kimataifa?


Na Mwandishi Wetu, Arusha
KAMATI ya wawakilishi wa mabunge wanachama  wa Jumuia ya Madola Kanda ya Afrika (CPA) inatarajia kuwasilisha ripoti yenye mapendekezo ya kutaka Bunge hilo liwe na mwonekano wa kimataifa.
Ripoti hiyo itawasilishwa katika mkutano mkuu wa 45 unaofanyika mjini Arusha.
Uamuzi wa kuwasilishwa kwa ripoti hiyo ulifikiwa jana na kamati ya wawakilishi wa mabunge wanachama wa umoja huo,  iliyoketi katika ukumbi wa mikutano kwenye hoteli ya  Ngurdoto.
Akizungumza katika kikao cha...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

BELLE 9 KUWA KIMATAIFA ZAIDI!

Staa anayesumbua kwa sasa na Kibao cha Shauri Zao, Abedinego Damian ‘Belle 9’. Boniphace NgumijeNGUMIJE
STAA anayesumbua kwa sasa na Kibao cha Shauri Zao, Abedinego Damian ‘Belle 9’ amefunguka kuwa kufuatia wimbo wake huo kuanza kufanya vizuri kimataifa ikiwa ni pamoja na kuchezwa kwenye vituo mbalimbali vya televisheni ikiwemo Trace Urban kumemfanya apate mzuka wa kuandaa kazi nyingine kali ambayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndoto zangu ni kuwa msanii wa kimataifa

Burudani ni suala muhimu katika maisha ya kila siku, kwa upande mwingine pia ni ajira kwa baadhi ya vijana . Kundi kubwa la vijana limekuwa likitamani kuingia katika fani hiyo na kuwa wasanii ili

 

5 years ago

BBCSwahili

WHO yatangaza coronavirus kuwa janga la kimataifa

Shirika la Afya duniani limeutangaza mlipuko wa virusi vya corona kuwa ni janga la kimataifa huku mlipuko huo ukiendelea kusambaa katika mataifa mbalimbali duniani

 

9 years ago

BBCSwahili

IMF kuidhinisha Yuan kuwa sarafu ya kimataifa

IMF inatarajiwa kutangaza baadaye leo kuwa sarafu ya uchina ya Yuan, itajumuishwa kwenye orodha ya sarafu za kimataifa.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na wageni waliofika ofisini kwake kumjulisha kuhusu Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni lililoandaliwa na Kilimanjaro Dialogue Institute litakalofanyika nchini Tanzania na kuhusisha nchi 18 tarehe 21 na 22 Machi mwaka huu. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, wakwanza kulia ni Bw. Ramadhani Madabida na anayefuata ni Rais wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Diamond Platnumz: Bila Kiingereza huwezi kuwa wa kimataifa

diamondNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii anayetaka kuwa wa kimataifa.
Diamond alipokuwa kwenye mahafali ya darasa la saba Shule ya Rightway, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, alisema
lugha hiyo ilimpa hofu wakati alipokuwa akitaka kufikia soko la kimataifa.

“Mwaka jana nilipata mwaliko wa kutumbuiza kwenye jumba la Big Brother, Babu Tale, akaniambia baada ya onyesho nitafanyiwa...

 

11 years ago

GPL

JK ATUNUKIWA TUZO NYINGINE YA KIMATAIFA, NI YA KUWA NYOTA WA DEMOKRASIA AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa mshindi waTuzo la Nyota wa Demokrasia Afrika  2014 – Icon of Democracy Award Winner for 2014 in Africa. Kwa mujibu wa barua aliyoandikiwa Rais Kikwete na kupokelewa Ikulu, Dar Es Salaam, Rais...

 

9 years ago

Bongo5

Msanii anayetaka kuwa wa kimataifa ni lazima ajue kiingereza — Diamond

Naseeb ‘Diamond Platnumz’ Abdul amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii yeyote anayetaka kuwa wa kimataifa, kwasababu ndio kiungo kikubwa na muhimu kati ya msanii na wadau muhimu wa nje. Diamond amesimulia jinsi ambavyo kiingereza kilimpa changamoto wakati alipoanza kulitafuta soko la kimataifa na kumsababisha afanye juhudi binafsi za kujifunza. “Mwaka jana nilipata […]

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi mashindano ya Kimataifa ya Wushu

Na Daud Manongi, WHVUM
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa Wushu (Kung fu) yatakayofanyika hapa nchi kuanzia tarehe 30 hadi 31 katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Hayo yamebainishwa na Rais wa Chama cha Mchezo wa Wushu nchini Mwalami Mitete alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Katika taarifa yake Mwalami alisema kuwa mashindano hayo yatajumuisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani